Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Siyo Iringa, ni Mbeya milima ya Uporoto kuelekea Tukuyu ambapo mtanashati John alisababisha moto ulipuke baada ya kujaribu kuiba betri, wenye sufuria hata, wenye vijiko nao wamo, wenye madumu twende, kaburi lao la pamoja lipo kando ya barabara.

Kilikuwa Kijiji cha Idweli,mpaka leo nakumbuka sauti ya DC akiongea kwa uchungu na Masako wa ITV enzi hizo akinarrate tukio zima[emoji26][emoji26]
 
Utaipata chief natumia kifaa ambacho hakiwezi upload video humu ila inazunguka kwenye groups huko, it’s very sad kwa inavyoonyesha watu si chini ya 100 na zaidi ni wengi waliokuwepo wakichota mafuta, Tungoje Taarifa zaidi
Hatari sana mkuu watu wanalia huku wanakufa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hapana jamani
 
Hahaha sio tamaa na wivu kama huo wakijinga. ..

Kuna vitu una paswa kutumia akili vyema kabla haujavifanya. ...

Ila Kuna watu ni Majasiri sana ' Wanaweza hata kula nyama za watu kutokana na ujasiri wao ..Yaani mimi jinsi navyo yaogopa yale magari acheni tu aise
Dah..... Get rich or die trying [emoji23][emoji12] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeziona video Mzee Raia wanahitahi Elimu it’s very Sad na the way walivyokuwa wanalalamika na walioenda ni watoto, wanawake kwa wanaume yaani kama walikuwa bombani wanachota maji
Kuna vifo vinatokea kwa sababu ya ujinga wa mwanadamu na siyo mpango wa Mungu.

Ujinga ni kitu kibaya sana.
 
Nashukuru kurekebisha sikuwa nakumbuka vizuri ila ilikuwa ajali mbaya sana.

Nakumbuka miaka ile mtangazaji wa ITV Reinfred Masako akajipatia umaarufu wakati wa kuripoti tukio....

Mwenye kibakuli haya, mwenye sufuria hayaa, mwenye ndoo haya, mwenye sababu haya ili mradi kila mwana kijiji aliona neema imewashukia na sasa wataanza kuuza mafuta kila mwanamkijiji alikiwa mbio kuchota na kwenda kuyahifadhi nyumbani kwake. Hapo mwili wote umelowa mafuta kwa haraka ya kupaki na kupakua mafuta kabla hayajaisha. Moto ukija unafata matone mafuta yakikoelekea....

Ukiwa na roho ndogo unaweza sema hawa wafanyabiashara wa mafuta wanayaangusha makusudi ili wapate damu za kutoa kafara.... yaweza kuwa kweli nyingine ni ajali za kawaida tuu.
Ilo eneo la Uporoto watu walikuwa na tabia ya kuiba mafuta na mizigo, malori yalikuwa yakivamiwa sana, baada ya ule mlipuko adabu ilirudi na wizi ukakoma ni funzo ambalo walilipata
 
Haya magari ya mafuta ni vyema yangekuwa na muda maalumu wa kutembea.

Hivi mfano kwa foleni kama za Dar imetoka gari limepata hitilafu na kuwaka moto ni hasara kiasi gani itatokea (vifo).

Haya magari yawe na muda wa kusafiri kama ni usiku iwe usiku tu...
Dar ikitokea hii mzee

Ni kilio cha dunia

Sio taifa tena
 
Kukosa Maarifa Lazma KUFAA tuu..
Hili tukio liwe somo kwa mara nyingine tena..

MaskiniMjinga hawezi kuelewa hadi Utakapotumia njia sahihi za mifano kama hiii..
 
Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu lile ona sasa maafa hayo
We fala sana yaani umekosa neno la kusema umeona dawa ni polifisiem waje na virungu falla mkubwa wewe💩💩🖕🖕 hunatofauti na mumeo aliesema hakuleta tetemeko yeye
 
Back
Top Bottom