Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

nyie wezi wa kwenye ajali mnahuzunisha sana,usikute ulikuwa mbali ndio maana hukusogea kuiba mafuta,vitu vingine ni vya kipumbavu kila siku zinatolewa tahadhari lakini watu hawasikii,uwizi wao wa mafuta ndio umewafikisha hapo,acha niwe mpumbavu lakini nasema ukweli
Subiri babu yako akiwa dukani kwa mangi ananunua ugolo dukani yatokee yakutokea uje umwite mpambavu kuna picha humu imetumwa kabisa Boda walikuwa kwny kijiwe chao kabisa pembeni ya nguzo lakini mlivowapumbavu tayari mshahukumu walikuwa wanaiba mafuta
 
Gari tuu la petroli likipita mwili unanisisimka!

Hivi linapinduka unapata wapi ujasiri wa kwenda kukinga mafuta tena petroli!

Hii dhana ya "mpaka nione" inatutesa sana kwakweli!

Ni vifo ambavyo sijui hata wataviripoti vipi!?
Umaskini? Tamaa ya fedha? Au kasumba tuu ya wabongo!?
Pumzikeni kwa amani!
 
Na hapo habari za kina Erick sijui Bolengeti ndio zitasubiri kwanza,hadi maombolezo yapite washasahaulika,Amerirican & UK Embassies zitaungana nasi kutupa pole kipindi hiki kigumu.
 
Nimetazama video zake aiseee jamaa wamekuwa kuni, yaani mtu kalowa wese so hata akivuliwa ngua bado anawaka tu na kufuka moshi kama mshikaki.
 
Umenikumbusha mtangazaji R. Masako wa ITV alivyokuwa anaitangaza in a very dramatic way. May their souls RIP.

Siyo Iringa, ni Mbeya milima ya Uporoto kuelekea Tukuyu ambapo mtanashati John alisababisha moto ulipuke baada ya kujaribu kuiba betri, wenye sufuria hata, wenye vijiko nao wamo, wenye madumu twende, kaburi lao la pamoja lipo kando ya barabara.
 
Gari la mafuta likilipuka hata ukiwa perimeter ya mita 100 hauko salama sababu ya 1.Moshi unatoa oxygen unaleta carbon monoxide 2.Joto
Miaka zaidi ya 22 iliyopita huko Nigeria walitoboa bomba la mafuta kuiba mafuta yaliruka juu angani yakatengeneza aerosol au mvuke matone moto ukawaka mahali ukafuata ule mvuke juu angani karibu ya mawingu ukaanza kushuka chini uliua watu 500 walikuwa mbali ya tukio karibu nusu kilomita
Ikanyesha mvua ya moto?
 
Polisi, Watu wa Usalama na vikosi vya uokoaji walikuwepo wapi. Maana haikutokea ghafla, watu walichota mafuta mpaka walijisahau.
Screenshot_20190810-110055.jpeg
 
Inahitajika elimu zaidi kwa jamii,Siku mbaya kwa Taifa.
 
Sio malori ya mafuta tu mara kadhaa pia tumelalamikia tabia ya mabasi ya abiria kuingia sheli na abiria lakini mamlaka husika zimekaa kimya ipo siku tutapata majanga makubwa sana Mungu atuepudshe.
KUNA WAJINGA WENGINE AMBAO HUWA WANAPAKIA ABIRIA NA MADUMU YA PETROL KWENYE MABASI HASA MABASI YA VIJIJINI. NI HATARI SANA
 
Hali halis ilivokuwa msamvu. Watu wajifunze. Haya mafuta si ya kuchezea kwa kweli
 
Back
Top Bottom