rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Kabisa mkuuu yani Umemaliza kabisa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Hapo hata waliokuwa wanapita njia ukute nao wameteketea...Dah inasikitisha wapo waliopoteza maisha kisa tu walienda shangaa ajali. Tusihukumu sana. RIP all victims