Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,861
- 8,525
kinachoniuma ni waliowazaa hao watoto..wakina mama wanakuaga na uchungu mkubwa na watoto wao aise..Mungu awape nguvu tu
Hapana mama,she's married.Zama pm mkuu huwezi jua
Ndio uache dhambi mkuu. Kama maumivu ya moto wa exhaust ya pikipiki unayaogopa, utastahimili ya Jehanam?Aiseee
Maumivu ya moto yasikie kwa jirani. Niliwahi ungua na exhaust ya pikipiki sitakuja sahau maumivu yake.
Inaonesha ni wengi sana wameenda
Aiseee sio jambo dogo nina kila sababu ya kuilaumu serikali kwa kutowapa bodaboda na wakazi elimu ya majanga kama hayo
Walikua wengi sanaPolisi, Watu wa Usalama na vikosi vya uokoaji walikuwepo wapi. Maana haikutokea ghafla, watu walichota mafuta mpaka walijisahau. View attachment 1177358
Kwa kweli wanastahili kufa kwa ujinga wao wenyewe.[emoji28][emoji28]
Hakuna cha bure nowdays ona ilivyowagharim maisha yao, nimehuzunika sana.Ni njia ya kujikwamua kiuchumi,
Kabla ya mlipuko ilikuwa hivi
Wananzengo watakwambia una roho mbaya, unafurahia msiba wa mwenzako. Thoe mabalaa mengine tunajitafutiaga wenyeweukweli hawastahili huruma maana walijua kabisa what next ikitokea moto
Nipo tu ndugu yangu maisha yamekuwa magumu sana nataman nipate hata kazi ya kuosha vikongweNipo mkuu. Umepotelea wapi siku hizi?
Hiyo danger hawajui kusoma wanasomaKwa kweli wanastahili kufa kwa ujinga wao wenyewe.
Hivi Baba Swalehe wewe na akili yako timamu unaenda kuchota mafuta!! MAFUTA? hivi bado elimu zetu ni butu kushindwa kunoa bongo za Watanzania walio wengi!
Huwa nina huruma ila pia huwa nina ukatili sana katika hili siwezi kusononesha moyo wangu hata kama angekuwepo mtoto wangu/ndugu katika hiyo ajali.
Ujinga ni gharama kubwa ila una malipo madogo na yenye kumbukumbu nzuri.
Mkuu omba Mungu Lorry la mafuta sililipuke jirani na ulipo ama makazi yako. Moto wa petrol una kasi kuliko rocket yani wewe endelea tu kuona hao waliokufa wote ni wapuuzi ila moto wa petrol kwa kawaida huwa unaua wapuuzi na wasio wapuuzi.Kwa kweli wanastahili kufa kwa ujinga wao wenyewe.
Hivi Baba Swalehe wewe na akili yako timamu unaenda kuchota mafuta!! MAFUTA? hivi bado elimu zetu ni butu kushindwa kunoa bongo za Watanzania walio wengi!
Huwa nina huruma ila pia huwa nina ukatili sana katika hili siwezi kusononesha moyo wangu hata kama angekuwepo mtoto wangu/ndugu katika hiyo ajali.
Ujinga ni gharama kubwa ila una malipo madogo na yenye kumbukumbu nzuri.
Sekenke kuna siku nasafiri tunafika tunakuta tanker la gas limeanguka likaziba njia basi watu wote tumeshuka wakaelekea pale kuliangaliaHatari sana, Elimu inahitajika kwa raia wanaoishi pembezoni waonapo ajali iwe ya tanker's, normal Cargo na ajali za gari binafsi , nini wafanye waonapo ajali barabarani.
Vyombo vya usalama, vijikite na kuweka nguvu kwenye rescue teams zao kuweza kurespond kwa haraka ajali yeyote inapotokea ili kuwahi kudhibiti hatari na kuepusha ujinga huu maana kunasiku mji, mkoa au nchi itaungua kipumbavu kabisa.
Serikali iwekeze kwenye rescue teams, breakdowns services kwenye highways zote na kuwe na response ya haraka incase of accident, Mindset ya jeshi la polisi ibadirike kutoka kutoza watu faini na kusongesha mahakamani baadala yake ijikite kwenye elimu, accident preventions (wajikite kuzuia na sio kukamata kwa kutoza faini, kuweka ndani, kuchukua rushwa baadala yake waongeze patrol, kusport kwenye breakdowns, kukaa na kuweka temporary alerts za mara kwa mara maeneo hatarishi kama kitonga, ilula, sekenke nk..TUAMKE KUEPUSHA VIFO VYA KIJINGA KAMA HIVI..