Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Kwa mkusanyiko huu wa watu lazima tu wangekufa wengi
 
Ila bodaboda jamani, jana kule Mwanza kama km 2 hivi kutoka nyegezi standi wakasabaisha ajali basi la Abood leo kama masaa 24 hivi yamepita eti Moro nako haohao, hivi baadhi yao huwa wanawaza nini vichwani mwao jama!?
 
Duh,kama ni mtihani Wa mungu basi huu mgumu sana,sipati picha familia tegemezi wamebakije watoto nk!
 
Syo iri
Duuh hapa kuwa na askari wa kuwazuia?

Wamesahau ile ajali ya Iringa miaka kadhaa nyuma. Karibu kijiji kizima kiliteketea sababu ya kusombelea mafuta ya bure. Moto ukishika unafata mtiririko wa matone ya mafuta yalipoenda, hivo hadi nyumba ziliungua.

May their soul Rest In Peace.
Syo iringa ni mbeya milima ya iwalanje panaitwa airport
 
Yaan watu tunakua na uelewa mdgo na pia tunachukulia poa sana magari ya mafuta au tunaona ndo sehemu ya kupiga dili ila kiukweli ni hatari sana. Yaan bora polisi wapige watu virugu wToke manundu lkn baada ya wiki watapona
Xx just imagine hasara kiasi gani kupoteza vijana zaidi ya mia moja???
Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu lile ona sasa maafa hayo
 
Sasa hapo hata kuwatambua itakuwa ngumu. Too sad. Im confused,but why,why? Walienda kukinga mafuta ili wapate vijisenti wafurahie maisha. On doing that hata hayo maisha wanayapoteza. Ignorant mpaka lini?
A reason to Live gives a reason Die
 
Ulifika kunako hata usilaumu, pale itigi ndo palivyo na walipokuona walijua hadi bei yako ni sh ngp? so usilalamike, siku ingine uulize unapotaka kwenda IPO siku utaenda kaumba
 
Mkuu omba Mungu Lorry la mafuta sililipuke jirani na ulipo ama makazi yako. Moto wa petrol una kasi kuliko rocket yani wewe endelea tu kuona hao waliokufa wote ni wapuuzi ila moto wa petrol kwa kawaida huwa unaua wapuuzi na wasio wapuuzi.
Ahuweni ajali inifuate ila siyo mimi kufuata ajali.

Siwezi kuguswa kwa namna yoyote ile na hili tukio zaidi ya kutaka litumike kama kielelezo kwa wapuuzi wengine wenye akili za kufikia.
 
Inna Lillahi Wa Inna Illayhi Raji’un
Huu ni msiba, msiba mzito [emoji24][emoji24]
 
una ushahidi walikuwa hawachoti mafuta kenge wewe
Sio wote mkuu mbona unahukumu kwa ujumla kenge wewe tukio limetokea kwny shughuli za watu wengine wapita njia tu wamekufa wengine wamekuja kushuhudia ajali kwanini wote useme wezi
 
Waziri anakimbia wakti ameapa kutulinda sisi raia[emoji3][emoji3]
Inasikitisha sana....

Kuna siku nilikua njian to tanga,lori la gesi likashika moto berti na mfumo wa mafuta....kila mtu alikimbia gari lake na kutokomea maporini

Wakabak wajeda 4,tingo na dereva wakambana na moto mpaka wakaudhibiti kabla ngoma haijalipuka...

Kwenye msafara alikuwepo NB waziri wakat huo alikimbia bila viatu
 
Back
Top Bottom