Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Unachozungumza ni kweli kuna kipind yaliwah kufumuka pale kimara resort likadondokea coaster ya bairia na mmoja na kuna msanii alifia pale ila hakuwa maarufu sana kipind kile hivyo nimemsagau ni wamaigizo.
Mimi sio malori ya mafuta tu...hata yale yaliyobeba makontena sinaga imani nayo..nikiwa pembeni labda kwenye foleni nakosa amani kabisa..hayakawii kufunguka zile loki.
 
Haya magari ya mafuta ni vyema yangekuwa na muda maalumu wa kutembea.

Hivi mfano kwa foleni kama za Dar imetoka gari limepata hitilafu na kuwaka moto ni hasara kiasi gani itatokea (vifo).

Haya magari yawe na muda wa kusafiri kama ni usiku iwe usiku tu...
 
Yano sisi watumiaji wa DSTV tuna shida sana kwa kukosekana chanel zingine za ndani na kuachiwa hili li TBC,
Yani tukio limetokea huko morogoro wananchi wenzetu wamepata majanga, nikajua nitapata news naangalia hapa wanaonyesha matangazo ya maua na makorokocho.
Badilikeni TBC1
 
Daah aise ....mimi sitaki hata kuziona naweza nisile. ...
Nimeziona video Mzee Raia wanahitahi Elimu it’s very Sad na the way walivyokuwa wanalalamika na walioenda ni watoto, wanawake kwa wanaume yaani kama walikuwa bombani wanachota maji
 
Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu lile ona sasa maafa hayo
Ile ya Mbeya haijatoa funzo?
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, nina ndugu zako huko ngoja nipige simu kupata habari kamili. .

Pole sana mkuu nina Ndugu yangu alikuwa apo morogoro anajishughulisha na bodaboda simpati hewani labda simu yake haina chaji tu
 
K
FB_IMG_15654224725292831.jpeg
FB_IMG_15654225095200724.jpeg
 
Nimeziona video Mzee Raia wanahitahi Elimu it’s very Sad na the way walivyokuwa wanalalamika na walioenda ni watoto, wanawake kwa wanaume yaani kama walikuwa bombani wanachota maji
Tuoione mkuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mungu awatie nguvu jamani hawajifunzi yaliyotokea manyoni singida tumepoteza mamia ya watu pamoja na askari police wa kutosha japo walitangazwa wachache wakati tunaojua uhalisia ni wengi mno
Awatie nguvu wamekufa
 
Kila jambo anapabga Allah, na sie tuwe waangalifu katika kila hatari tusiadhibiwe kwa uzembe hao waliofariki walikuwa wanaiba mafuta
Hapa ndipo hua nachoka, Mungu apange gari la mafuta kupata ajali, kuwaka na kuuwa watu..? Kweli...?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mi hata nikaenda kituo Cha mafuta naogopa,sembuse kusogelea hilo Lori na kidumu changu nichote wese!!
Kuna watu Wana roho ngumu
 
Back
Top Bottom