Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Ni clouds tu ndio waliongea na Mkuu wa Mkoa Morogoro, hakuna Tbc, Channel ten, Azam, wala nani aliye kava tukio wala aliyestuka kuhusu tukio hilo. Clouds wamesema mwandishi wa habari wao anasogea sehem ya tukio, ndio tunasubiria clouds tv hapa.
 
.
IMG-20190810-WA0013.jpeg
 
Ingekuwa jiwe wangeonyesha ila ajali ya kuuwa watanzania haiwahusu, hamia kwenye mitandao
 
Ni vijana wanaume zaidi ya 100 wameungua na kuteketea kabisa huku boda boda zao nazo zikiteketea kwa moto
 
Mshahara wa dhambi ni mauti
Gari limepata ajali mnakimbilia kupora mali ya watu
Nina uhakika wote waliokufa walikua kwenye heka heka za kuiba mafuta
Mungu ametenda haki
Good riddance!
Umehakikia wapi? Huna hakika, unadhani tu. Inawezekana kulikuwa na wapita njia, wale wanaoshangaa bila kujua madhara n.k hao watu ni wengi sana MUNGU awape wepesi ndugu na familia zao.
 
Kwa akili zako ndogo unazani Lori likilipuka moto unasambaa eneo la kuzunguka tu gari ndo maana unaandika ugolo tupu pumbavu kabisa
nyie wezi wa kwenye ajali mnahuzunisha sana,usikute ulikuwa mbali ndio maana hukusogea kuiba mafuta,vitu vingine ni vya kipumbavu kila siku zinatolewa tahadhari lakini watu hawasikii,uwizi wao wa mafuta ndio umewafikisha hapo,acha niwe mpumbavu lakini nasema ukweli
 
Hata hiyo ya Morogoro chanzo cha kulipuka ni jamaa kajaribu kuiba betri. Hakujua kuwa anajitengenezea mlipuko
Siyo Iringa, ni Mbeya milima ya Uporoto kuelekea Tukuyu ambapo mtanashati John alisababisha moto ulipuke baada ya kujaribu kuiba betri, wenye sufuria hata, wenye vijiko nao wamo, wenye madumu twende, kaburi lao la pamoja lipo kando ya barabara.
 
Hamna cha kujifunza wala nini, hii ndio Hali halisi ya uchumi wa mtanzania...kuna wengine wako kwenye kipupwe wanakula kuku chips na wengine wako wanakimbilia Lori la mafuta wachote mafuta kwa ajili ya matumizi yao
Dah, R.I.P kwaooo, hii issue mbona inatokea sana kwa nini binadamu ni wagumu kujifunzaa?
Njaa hupunguza sana uwezo wa kufikiri, ona sasa, wameamka a fresh meat, hata chai bado wamegeuzwa ndafu.
This only happens when your desire overcome your fear,
Never beat btn money vs death, the stake is too high, they died in the agony...
Hawa wamechukua ule usemi wanaousikia mtaani wa 'kujilipua kimaisha' kama ulivyo, hawakutaka tabu.
 
Yano sisi watumiaji wa DSTV tuna shida sana kwa kukosekana chanel zingine za ndani na kuachiwa hili li TBC,
Yani tukio limetokea huko morogoro wananchi wenzetu wamepata majanga, nikajua nitapata news naangalia hapa wanaonyesha matangazo ya maua na makorokocho.
Badilikeni TBC1
Habari si umeshapata sasa ulitaka tbc ikitokea ajali waandishi wao wawepo hapohapo?
 
Tuoione mkuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Utaipata chief natumia kifaa ambacho hakiwezi upload video humu ila inazunguka kwenye groups huko, it’s very sad kwa inavyoonyesha watu si chini ya 100 na zaidi ni wengi waliokuwepo wakichota mafuta, Tungoje Taarifa zaidi
 
Na wewe ukifa watu wata comment hivyo hivyo tena wataongezea na wanao wa kike watatunzwa
Elimu ya moto bado vijana hawajaijua vizuri. Kila mwaka wanakufa sababu ya moto wa mafuta ila naona hawasikii.

Wapumzike kwa amani, tutawatunzia wake zao na madem zao.
 
Nimefikia Morogoro mjini kwa kua sina ndugu au mtu ninayemfahamu basi nmefikia Guest za karibu na Msamvu , kilichonishangaza mno ni wanaume wa maeneo haya kupenda sana kununua malaya .Unaweza ukawa unatembea tu mtu anakuuliza naomba company yako Usiku au je uko na mtu ukimjibu sna mtu anakuomba mechi
Uzi tayari
Nimefungua fasta nikidhani una update za tukio la moto kumbe ni uchuro tu!
 
Back
Top Bottom