Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 689
- 1,096
Nia
Na kwa speed limits za 50 km per hers utembee Dar Mbeya takribani 840km inakuchukua kutwa nzima na zaidi ukiwa umekaa kwenye bus, inachosha sana. Tujaribu pia kuangalia hizi 50 km per hers, zimekua nyingi sana jamani kiasi watu we anavutiwa kusafiri usikuNijuavyo na nishasafiri mara nyingi na hizi coster. Kutoka mbeya wanapakilia uyole, pale kuna wafanya biashara wanakuja Dar kununua mahitaji ya madukani , wafike asubuhi wananunua wanapakia kwenye mafuso then wanapanda tena Costa Dr wanarudi makwao, hapo Wana save ku lala guest. Ukichanganya na dharura nyingine, mtu unashunguki Dar au Mbeya inakulazimu utembee usiku iki ukifika kesho yake asubuhi unafikia kufanya ulichokijia, kuliko kutembea mchana na ukifika uendako ni usiku unalala tena. Unakua ushapoteza siku nzima bura