Morogoro: Magari sita ya abiria yakamatwa yakiwa na misiba feki

Morogoro: Magari sita ya abiria yakamatwa yakiwa na misiba feki

Ha ha ha tatizo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kufanya utalii wa ndani. Tunatumia misiba kama sehemu ya utalii.

Kuna watu walienda Chato kutalii wakati wa msiba wa JPM.

Mtu kazaliwa Arusha hajawahi kufika Mbeya anasubiri msiba au harusi ndio afike.
Hahahaha... sisi wala si utalio. Ni kwetu na twaenda daily. Sema tu bana msiba mkiuguza sana unakua hata himlalamikii sana Mungu zaidi mnashukuru tu. Mbali na kwamba sipendi vyombo ila na ile baridi si hata na mm nikagonga vismirnoff ice black[emoji23][emoji23] yaan vyombo vyombo[emoji23][emoji23] ma vile njia panda pale hamuingii home basiakosta yote na private cars mwalala pale mpk kukuche basio.. ila kwa hotelin banaaa[emoji23][emoji23] huu msiba urudiwe tenaaa.. kale kagari ka maiti kakaharibikaaa teena pale hotelini. Tukasema tutamchunga babu yetu mpk tumfikishe. Watoto wake nap wakasema wakifika nyumbani wataeleza nn home wamemuacha wapi baba yao. Basi tukaendelea kugonga vitu. Yaan walevi wnajua kutafuta sababuy pooh[emoji23]
 
Ha ha ha nyie sio watu wazuri
 
... Ok; japo haijaelezwa sababu ya coasters kuweka mashada but i think ni ili yaweze kupiga pesa kwa kuiba route kupeleka waombolezaji feki mikoani. Ila na sisi wananchi sijui tunawazaga nini how can you risk your life kwa negligence ya namna hiyo? Unakutana na ki-Ractis au Fun Cargo kinaitia abiria wa Mbeya tena usiku mnene na wewe unaingia! Dah!
Kuna wafanya biashara wanatoka mbeya tunduma Iringa jioni wanafika dar asbh.....wanafanya manunuzi mizigo wanapakia kwenye fuso jioni wanarudi kwao wanafika alfajiri.....ndo wadau wa hizi route
 
Mpaka wanafanya yote hayo wanakwepa nini ama kuficha kitu gani?
Wanafunika kombe, Soon wataendelea na utaratibu wao Wa kupokea rushwa na kuruhusu yaendelee na safari.

Siyo kweli kwamba Polisi haijui huu ujanja ujanja wa hawa wasafirishaji, ila ni wadau wenzao kwenye huu udanganyifu.. Sema huyu aliyepata ajali majuzi ndo kama amewaumbua.
 
Kuna wafanya biashara wanatoka mbeya tunduma Iringa jioni wanafika dar asbh.....wanafanya manunuzi mizigo wanapakia kwenye fuso jioni wanarudi kwao wanafika alfajiri.....ndo wadau wa hizi route
Yaani ni kote. Na hata sio hap tu. Sisi wa dar tu wenyewe una dharura zako jion unakwea kosta lako alfajiri uko moshi ama arusha. Same to other mikoa. Na wanalijua sana. Wanafunika tu kombe
 
Sio lazima kila wanaoenda kuzika wakakodi gari basi kwenye gari wawe Na mwili wa marehemu, kuna wakati ndugu mko dar msiba umetokea Mbeya au Iringa mnafanya maandalizi ya msiba ikiwemo mashada, maua na hata jeneza mnaenda nalo msibani.

Sasa hawa wajamaa wakikukamata ukweli wanakuwa wanao kwenye ile ground ya maelezo ya dereva lakini wanaamua kuupotosha makusudi kwa maslahi flani flani.
 
Hii yote inatokea kwasababu nchi hii bado tunaamini usiku nchi yote na wananchi wote wanapaswa kulala.Tungekua serious kwakufikiri namna ya watu kuutumia usiku kama ilivyo mchana mambo kama hayo ya misiba feki wala yasingekuwepo kwa wasafiri wa kawaida ambao sio wahalifu.hayo magari ya usiku yanasaidia sana watu shida inakuja hapo kwenye vikwazo tulivyoviweka kama nchi kuhusu usalama barabarani na taratibu zingine.
 
Sio lazima kila wanaoenda kuzika wakakodi gari basi kwenye gari wawe Na mwili wa marehemu, kuna wakati ndugu mko dar msiba umetokea Mbeya au Iringa mnafanya maandalizi ya msiba ikiwemo mashada, maua na hata jeneza mnaenda nalo msibani.

Sasa hawa wajamaa wakikukamata ukweli wanakuwa wanao kwenye ile ground ya maelezo ya dereva lakini wanaamua kuupotosha makusudi kwa maslahi flani flani.
Na pia wako wanaoenda kuzika randomnly pia. Sinlazima mkodi hata hiyo gari
 
Hayo magari ukishapanda yan unalipa nauli yako na mkisimamishwa na polisi mnatakiwa mlie bila sababu
Ujanja ujanja tumesoma kwa baba lao cmm. Bado tu kuhitimu unafiki tunu nambari wani ccm.
 
Watu wa huku jf mnajidai mnafata sheria kwamba mmenyooka sanaa waa hamtaki ujanja ujanja ..ila kiuhalisia kuna mda unapata dharura alaf hakuna wa kukusaidia zaid ya hawa wajanja wajanja mnaowazarau ..tena hua wanakua na msaada mkubwa mnoo ..
 
nafikiri hao jamaa watakua walikua wanawasafirisha kwa bei chee ndio maana watu wakavutika kupanda hizo gari.
Hapo nafikiri hao jamaa watakua walikua wanawasafirisha kwa bei chee ndio maana watu wakavutika kupanda hizo gari.
Bei za usiku nisawa tu na mchana, wakati mwinge inakua kubwa kuliko za mchana, wengi usiku ni dharura, na zinaokoa mda na gharama za kulala maguest
 
Sio lazima kila wanaoenda kuzika wakakodi gari basi kwenye gari wawe Na mwili wa marehemu, kuna wakati ndugu mko dar msiba umetokea Mbeya au Iringa mnafanya maandalizi ya msiba ikiwemo mashada, maua na hata jeneza mnaenda nalo msibani.

Sasa hawa wajamaa wakikukamata ukweli wanakuwa wanao kwenye ile ground ya maelezo ya dereva lakini wanaamua kuupotosha makusudi kwa maslahi flani flani.
Hahahaaa mkuu ni kweli. Ila gari za kukodi zinajulikana na hizi hakuna kulala zinajulikana wala usidhani polisi wanasingizia

Ni upepo tu mbaya umepita huu soon tunaendelea na ratiba zetu za kuja dar na kuchungulia na kurudi kulala mikoani kwetu(vice versa is true also)
 
Ndio hawa kipindi cha Magu walikuwa wanatupia video za magari yameongozana eti yamebeba misiba ya corona!

Ukija mtaani jamani nani kafiwa hakuna!

Watz ni wapumbavu sana.
Magu alikua wapi kufichua hili?
 
Back
Top Bottom