Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 689
- 1,096
Na kwa speed limits za 50 km per hers utembee Dar Mbeya takribani 840km inakuchukua kutwa nzima na zaidi ukiwa umekaa kwenye bus, inachosha sana. Tujaribu pia kuangalia hizi 50 km per hers, zimekua nyingi sana jamani kiasi watu we anavutiwa kusafiri usikuNijuavyo na nishasafiri mara nyingi na hizi coster. Kutoka mbeya wanapakilia uyole, pale kuna wafanya biashara wanakuja Dar kununua mahitaji ya madukani , wafike asubuhi wananunua wanapakia kwenye mafuso then wanapanda tena Costa Dr wanarudi makwao, hapo Wana save ku lala guest. Ukichanganya na dharura nyingine, mtu unashunguki Dar au Mbeya inakulazimu utembee usiku iki ukifika kesho yake asubuhi unafikia kufanya ulichokijia, kuliko kutembea mchana na ukifika uendako ni usiku unalala tena. Unakua ushapoteza siku nzima bura
... sahihi kabisa; kama ndivyo, onesha kibali cha kukuruhusu kwenda ruti hiyo.
Wewe watu wa kwenye magari wanajua yote hayo mkuu. Unadhani hiyo oparesheni saivi watakamata gari tena?? Hakuna mtu atapita kwa njia hiyo tena. Hata hao waliokamatwa walikua wanatest tu hawakutegemea kama ile ishu ya juzi ingeamsha haya yote. Mwanzoni hawakua na shida kwakua haikua ishu ya polisi na ilikua sehem moja tu ya kukwepa kama nilivyosemaKiraka, jibu lingine hilo! Mtapigwa cross-exam mtajichanganya tu! Usijaribu kudanganya visivyodanganyika; never!
Hahahaaa hivi unadhani polisi wajinga kiasi hicho???Huu ni upuuzi, what if mwili wa marehemu ulitangulia na ndege, au tu watu wanakwenda msibani mikoa hiyo. Yaani ili uweke maua ni lazima uwe na maiti? Gari inakwenda msibani, basi.
Hawa jamaa bana.
Hahahaaa hivi unadhani polisi wajinga kiasi hicho???
Yani sipati picha watu walivyokua wanajikanyaga kuhojiwa humo kuwa msiba wa nani mnasafirisha
Mwili uende na ndege halafu nyie mie kwa coaster na mashada?? Hata kama zikiwa gari mbili za msiba huwa utaratibu ni kutembea msafara(zimeongozana)
Kuna vichekesho sana barabarani mkuu usilaumu polisi. Hii michezo naijua wiki nzima sasa inachezwa
Mbona hujawah kusikia hapo kabla?? Nani anayetaka kujifanya ana msiba wakati hana ila hapa ilibidi tu watu "wabinu mbuni"
Uzuri wa makosa ya usalama barabarani unakubali hapo hapo na unapigwa umeme wako unaenda kusikilizia maumivu hata hampelekani mbali kwa DPP.....DPP wako ni kile kimashine kinachora mkeka unachangia mshahara wa mbunge fasta😂😂. Na faini za LATRA zilivyonona kmmkUwepo wa mashada haumaanishi wamebeba maiti. Labda kama PDP ni yule wa aliyekwenda zake.
Uzuri wa makosa ya usalama barabarani unakubali hapo hapo na unapigwa umeme wako unaenda kusikilizia maumivu hata hampelekani mbali kwa DPP.....DPP wako ni kile kimashine kinachora mkeka unachangia mshahara wa mbunge fasta😂😂. Na faini za LATRA zilivyonona kmmk
Hahaaa huu ujanja ni kwamba watu wamelazimika tu mkuu. Ila hizo gari zipo kitambi sema hazina vibali. Sasa LATRA kuanza kuzikamata pale kibaha ndo wabongo wakaamua kufungua duniaThanks Mkuu naanza kuelewa, sikuwa najua huu ujanja ujanja.
Hahahah ndio unaweza ukakomaa kama unajua hakuna kosa. Mie kuna sehemu humu nilishasemaga faini za 50kph saivi toka February za kubambikia nazikataa na nawaambia twende mahakamani(sometime nawashinda wanaogopa sometimes hadi nalala lockup) ila kama unajijua kuna kona kona bora kukubali tu yaishe kuepusha gharama.Hiyo kama unakubali. Unaruhusiwa kukomaa vile vile.
Faini zao si misahafu. Yawezekana una hoja.
Hahahah ndio unaweza ukakomaa kama unajua hakuna kosa. Mie kuna sehemu humu nilishasemaga faini za 50kph saivi toka February za kubambikia nazikataa na nawaambia twende mahakamani(sometime nawashinda wanaogopa sometimes hadi nalala lockup) ila kama unajijua kuna kona kona bora kukubali tu yaishe kuepusha gharama.
Imagine we dereva unatoka dar unaenda mbeya unakamatwa pale mbele ya ilembula kwenye mpaka wa njombe na mbeya unagomea faini unapelekwa mahakamani makete. Gharama zake utapima mwenyewe😂😂😂😂
Wenyewe hawana cha kupoteza ndo wako kazini. Wewe sasa???
Mengine yamepeleka msiba yanaporudi yanaweka mashada kupunguza usumbufu.Mbona ni kama vile mnafanya hili jambo jipya? Mbona lipo sana? Na ni usafiri mzuri sana. Hizi coaster si kwamba wana wanaweka mashada mapya makusudi hapana. Wanaposafirisha misibaashada mengine hubaki hivyo kuacha na kuyaweka pale mbele wanapoiba routes bila kukodiwa. Wasipofanya hivyo husumbuliwa sana barabarani. Ni kawaida sana kama wewe ni msafiri wa route za usiku hasa kaskazini..
Akili yako imejaa Magufuli marehemu dikteta muharibifu.Ndio hawa kipindi cha Magu walikuwa wanatupia video za magari yameongozana eti yamebeba misiba ya corona!
Ukija mtaani jamani nani kafiwa hakuna!
Watz ni wapumbavu sana.
Kuokoa muda gari yenye kubeba miili huwa hayana bughudha... Ok; japo haijaelezwa sababu ya coasters kuweka mashada but i think ni ili yaweze kupiga pesa kwa kuiba route kupeleka waombolezaji feki mikoani. Ila na sisi wananchi sijui tunawazaga nini how can you risk your life kwa negligence ya namna hiyo? Unakutana na ki-Ractis au Fun Cargo kinaitia abiria wa Mbeya tena usiku mnene na wewe unaingia! Dah!
... na wahuni wanatumia hiyo privilege kufanya yao.Kuokoa muda gari yenye kubeba miili huwa hayana bughudha
Yes. Ndo ilivyo. Tumewahi panda na coaster 13 msiba wa babu yangu..mashada mengine tuliyapotezea mana yalikua mengi snaa. Sema unanifanya nifikirie dhambi sasa[emoji23][emoji23] sijui nitakua mwanga maana kuna karaha fulan hv inakua kama tour. Mnajazana halaf mnakula manyama mengi sana pale rock hill na mabia njia nzima[emoji23] kuna muda kama unawaza it was a nice moment hivi maana mnakutana woote. Kwahiyo haya mambo ya kusumbuana barabarani siyapendi...Mengine yamepeleka msiba yanaporudi yanaweka mashada kupunguza usumbufu.
izo ajira za magufuli, mama kazikutaJamani hizi ndizo ajira mpya ambazo Bi Mkubwa aliahidi, au! bona hatuelewi jamani lakini!?
Ha ha ha tatizo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kufanya utalii wa ndani. Tunatumia misiba kama sehemu ya utalii.Yes. Ndo ilivyo. Tumewahi panda na coaster 13 msiba wa babu yangu..mashada mengine tuliyapotezea mana yalikua mengi snaa. Sema unanifanya nifikirie dhambi sasa[emoji23][emoji23] sijui nitakua mwanga maana kuna karaha fulan hv inakua kama tour. Mnajazana halaf mnakula manyama mengi sana pale rock hill na mabia njia nzima[emoji23] kuna muda kama unawaza it was a nice moment hivi maana mnakutana woote. Kwahiyo haya mambo ya kusumbuana barabarani siyapendi...
Halaf wengine huwa pia unakuta mtu kafia kijijin ila ndugu wanaorganize wanapanda na coaster. Hawana maiti. Sema tu ni vile pia imekua mbinu. Yatakwisha tuu haya mambo