miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,088
Hahahaha... sisi wala si utalio. Ni kwetu na twaenda daily. Sema tu bana msiba mkiuguza sana unakua hata himlalamikii sana Mungu zaidi mnashukuru tu. Mbali na kwamba sipendi vyombo ila na ile baridi si hata na mm nikagonga vismirnoff ice black[emoji23][emoji23] yaan vyombo vyombo[emoji23][emoji23] ma vile njia panda pale hamuingii home basiakosta yote na private cars mwalala pale mpk kukuche basio.. ila kwa hotelin banaaa[emoji23][emoji23] huu msiba urudiwe tenaaa.. kale kagari ka maiti kakaharibikaaa teena pale hotelini. Tukasema tutamchunga babu yetu mpk tumfikishe. Watoto wake nap wakasema wakifika nyumbani wataeleza nn home wamemuacha wapi baba yao. Basi tukaendelea kugonga vitu. Yaan walevi wnajua kutafuta sababuy pooh[emoji23]Ha ha ha tatizo watanzania huwa hatuna utamaduni wa kufanya utalii wa ndani. Tunatumia misiba kama sehemu ya utalii.
Kuna watu walienda Chato kutalii wakati wa msiba wa JPM.
Mtu kazaliwa Arusha hajawahi kufika Mbeya anasubiri msiba au harusi ndio afike.
Ha ha ha nyie sio watu wazuriHahahaha... sisi wala si utalio. Ni kwetu na twaenda daily. Sema tu bana msiba mkiuguza sana unakua hata himlalamikii sana Mungu zaidi mnashukuru tu. Mbali na kwamba sipendi vyombo ila na ile baridi si hata na mm nikagonga vismirnoff ice black[emoji23][emoji23] yaan vyombo vyombo[emoji23][emoji23] ma vile njia panda pale hamuingii home basiakosta yote na private cars mwalala pale mpk kukuche basio.. ila kwa hotelin banaaa[emoji23][emoji23] huu msiba urudiwe tenaaa.. kale kagari ka maiti kakaharibikaaa teena pale hotelini. Tukasema tutamchunga babu yetu mpk tumfikishe. Watoto wake nap wakasema wakifika nyumbani wataeleza nn home wamemuacha wapi baba yao. Basi tukaendelea kugonga vitu. Yaan walevi wnajua kutafuta sababuy pooh[emoji23]
Kuna wafanya biashara wanatoka mbeya tunduma Iringa jioni wanafika dar asbh.....wanafanya manunuzi mizigo wanapakia kwenye fuso jioni wanarudi kwao wanafika alfajiri.....ndo wadau wa hizi route... Ok; japo haijaelezwa sababu ya coasters kuweka mashada but i think ni ili yaweze kupiga pesa kwa kuiba route kupeleka waombolezaji feki mikoani. Ila na sisi wananchi sijui tunawazaga nini how can you risk your life kwa negligence ya namna hiyo? Unakutana na ki-Ractis au Fun Cargo kinaitia abiria wa Mbeya tena usiku mnene na wewe unaingia! Dah!
Wanafunika kombe, Soon wataendelea na utaratibu wao Wa kupokea rushwa na kuruhusu yaendelee na safari.Mpaka wanafanya yote hayo wanakwepa nini ama kuficha kitu gani?
Yaani ni kote. Na hata sio hap tu. Sisi wa dar tu wenyewe una dharura zako jion unakwea kosta lako alfajiri uko moshi ama arusha. Same to other mikoa. Na wanalijua sana. Wanafunika tu kombeKuna wafanya biashara wanatoka mbeya tunduma Iringa jioni wanafika dar asbh.....wanafanya manunuzi mizigo wanapakia kwenye fuso jioni wanarudi kwao wanafika alfajiri.....ndo wadau wa hizi route
Siku nyingine usiwe unajipeleka kwa wanaume tena ili wasikuharibu.Akili yako imejaa Magufuli marehemu dikteta muharibifu.
Hizi route kitambo Sana kiufupi wafanyabiashara inatusadia Sana hiiJamani hizi ndizo ajira mpya ambazo Bi Mkubwa aliahidi, au! bona hatuelewi jamani lakini!?
Hahahhaah huu utetesi mahakamani unaachiwa asubuhi na mapama kabisakwani ni kosa kulinunua jeneza na kulisafirisha,Yani tatizo lipo wapi.
Na pia wako wanaoenda kuzika randomnly pia. Sinlazima mkodi hata hiyo gariSio lazima kila wanaoenda kuzika wakakodi gari basi kwenye gari wawe Na mwili wa marehemu, kuna wakati ndugu mko dar msiba umetokea Mbeya au Iringa mnafanya maandalizi ya msiba ikiwemo mashada, maua na hata jeneza mnaenda nalo msibani.
Sasa hawa wajamaa wakikukamata ukweli wanakuwa wanao kwenye ile ground ya maelezo ya dereva lakini wanaamua kuupotosha makusudi kwa maslahi flani flani.
Unataka kusema askari anakili sana ama?Hivi unaweza kum-outsmart askari wa barabarani kweli kwa mauzauza kama haya!??? Labda waamue wenyewe kuwafumbia macho. Eti Infantry Soldier 🙂
Wanasafirisha abiria bila ya vibali vya njia hiyoMpaka wanafanya yote hayo wanakwepa nini ama kuficha kitu gani?
Kwa ubunifu huu did i say watz are good- no they are brilliant. Kazi iendelee🙂Ndo watu wa kwanza kujiongeza kuweka mashada na kulia wakizuiwa kwenye berrier wanaachiwa.
Ujanja ujanja tumesoma kwa baba lao cmm. Bado tu kuhitimu unafiki tunu nambari wani ccm.Hayo magari ukishapanda yan unalipa nauli yako na mkisimamishwa na polisi mnatakiwa mlie bila sababu
Bei za usiku nisawa tu na mchana, wakati mwinge inakua kubwa kuliko za mchana, wengi usiku ni dharura, na zinaokoa mda na gharama za kulala maguestHapo nafikiri hao jamaa watakua walikua wanawasafirisha kwa bei chee ndio maana watu wakavutika kupanda hizo gari.
Hahahaaa mkuu ni kweli. Ila gari za kukodi zinajulikana na hizi hakuna kulala zinajulikana wala usidhani polisi wanasingiziaSio lazima kila wanaoenda kuzika wakakodi gari basi kwenye gari wawe Na mwili wa marehemu, kuna wakati ndugu mko dar msiba umetokea Mbeya au Iringa mnafanya maandalizi ya msiba ikiwemo mashada, maua na hata jeneza mnaenda nalo msibani.
Sasa hawa wajamaa wakikukamata ukweli wanakuwa wanao kwenye ile ground ya maelezo ya dereva lakini wanaamua kuupotosha makusudi kwa maslahi flani flani.
Magu alikua wapi kufichua hili?Ndio hawa kipindi cha Magu walikuwa wanatupia video za magari yameongozana eti yamebeba misiba ya corona!
Ukija mtaani jamani nani kafiwa hakuna!
Watz ni wapumbavu sana.