Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee.
Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Morogoro ni Pwani isiyo na Bahari, Kama mtangulizi hapo juu alivyocomment Morogoro ya enzi hizo sio hii ya sasa, zamani ilikuwa Morogoro kweli kweli, enzi zetu likizo na wazazi tulipenda kupumzika Morogoro kabla ya kwenda kijijini na pia kurudi toka kijijini tulipumzika kidogo Morogoro.
 
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.

Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Mbona mnashindwa kushughulisha vichwa,Kijiji-Mji-Jiji...fikiria wakati Dar ni mji na inafananishwa na Moro,kwingine kulikuaje??G-Z shiida
 
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.

Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Ni ushamba tu wa wakazi asilia wa Morogoro wakitambiana na watani na majirani zao wazaramo kwamba mji wetu hauna tofati na wa kwenu (Dar es Salaam). Ni bahari tu imekosekana but they're more or less the same.
 
Back
Top Bottom