Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Maana yake Ulikuwa ni Mji mzuri sana wenye kila kitu kasoro bahari tu.

-kulikuwa na viwanda.
-Mashamba makubwa ya mikonge na Estate nyingine.
-Wingi wa mazao ya kila namna Mchele, Mahindi, alizeti karanga,Nyanya nk.
-Bendi za muziki, kumbi za starehe zilikuwa za kutosha.
-Vyuo na taasisi mbali mbali za kielimu.
-Safu za Milima, maporomoko ya maji nk.

ULIKUWA MJI WENYE KILA KITU KASORO BAHARI.
 
Ukiacha hali ya hewa nzuri na mandhari ya kijani, Moro ulikuwa ni mji wenye kila kitu isipokuwa bandari tu (alternatively bahari)...

Moro ilijaaliwa kuwa na viwanda vikubwa (ajira) ambavyo vingi vimekufa, Moro ilikuwa ina timu kali ya mpira wa miguu ya Reli iliyozisumbua Simba na Yanga kwa kuwa na wachezaji wakali kama Duncan Butinini, David Mihambo, Mbuyi Yondani n.k, ukiavha na kabumbu Moro ilikuwa ni kitovu cha muziki wa kadansee, yaani madoni wa Dar walikuwa wanatoka Dar kwenda Moro kusakata rhumba...
Hapo imesema na nauli ilikuwa 600 tuu na msemo wa gari za luxury coaster ulipoanzia. Pale juwata to Dar
 
Back
Top Bottom