Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mimi mdomo jamaniš„°Itapendeza sana kama kafirst boni ketu kakiwa na macho kama haya.
Mimi mdomo jamaniš„°Itapendeza sana kama kafirst boni ketu kakiwa na macho kama haya.
Kipenzi changu jojo a.k.a manyong'ode ama Seran lady from sukuma community i love her hata nusu ya utajiri wangu nampa yeye, seran karibu ooh, karibu yangu, nikupeleke kwa baba atatupatia mali tufunge ooh ndoa. Ya wote huku secretarybird akibamizana na BICHWA KOMWE wakituonea wivu maninaaaaaa
Unataka awe wa kike ama wa kiume?Mimi mdomo jamaniš„°
š¤š¤Kipenzi changu jojo a.k.a manyong'ode ama Seran lady from sukuma community i love her hata nusu ya utajiri wangu nampa yeye, seran karibu ooh, karibu yangu, nikupeleke kwa baba atatupatia mali tufunge ooh ndoa. Ya wote huku secretarybird akibamizana na BICHWA KOMWE wakituonea wivu maninaaaaaa
Seran kipenzi changu I love you to the fullest dearest,, nakupenda, nakubusu songea nikubusuš¤š¤
Unataka kugombana na baba yako naonašKipenzi changu jojo a.k.a manyong'ode ama Seran lady from sukuma community i love her hata nusu ya utajiri wangu nampa yeye, seran karibu ooh, karibu yangu, nikupeleke kwa baba atatupatia mali tufunge ooh ndoa. Ya wote huku secretarybird akibamizana na BICHWA KOMWE wakituonea wivu maninaaaaaa
Wa kike dadiiāŗļøUnataka awe wa kike ama wa kiume?
Tutampata tu babe.Wa kike dadiiāŗļø
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Sina baba mbamizwa ndege mimiUnataka kugombana na baba yako naonaš
Huyu mtoto nitamlaani walahhi!Unataka kugombana na baba yako naonaš
Oukay zaddy!āŗļøšš½Tutampata tu babe.
Achana naye ni mtoto huyošHuyu mtoto nitamlaani walahhi!
Sema huyu mtoto tusimkemee sana maana atapoteza uwezo wake wa kujiamini hata akashindwa kutongoza pisi kali.Achana naye ni mtoto huyoš
ā¤ļøš„°ššOukay zaddy!āŗļøšš½View attachment 3656369
Twende naye taratibu atanizoea tu kama mama yake mdogomdogo!Sema huyu mtoto tusimkemee sana maana atapoteza uwezo wake wa kujiamini hata kashindwa kutongoza pisi kali.
Sipendi kumwonea mtoto wangu wa kiume awe domo zege.
Very true! Roma haikujengwa kwa siku Moja šTwende naye taratibu atanizoea tu kama mama yake mdogomdogo!
Nini maana ya morogoro?Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi