Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Wapo wengi nenda uzi wa kula masihara kule walifunguka mpk wa kinyume na 😂 afu wakikuta uzi mwingine wanajifanya kukataa huku wanafanya
Ule uzi unanitiaga kinyaa hata siuwezi kabisa, nilisoma na ule wa fantasy aisee shetani yuko humu ndani usione watu wanaanzisha nyuzi za kumpinga Mungu ukahisi ni mchezo tu!
 
Maana yake Ulikuwa ni Mji mzuri sana wenye kila kitu kasoro bahari tu.

-kulikuwa na viwanda.
-Mashamba makubwa ya mikonge na Estate nyingine.
-Wingi wa mazao ya kila namna Mchele, Mahindi, alizeti karanga,Nyanya nk.
-Bendi za muziki, kumbi za starehe zilikuwa za kutosha.
-Vyuo na taasisi mbali mbali za kielimu.
-Safu za Milima, maporomoko ya maji nk.

ULIKUWA MJI WENYE KILA KITU KASORO BAHARI.

"Njooni Morogoro mjioneee ooohh..." Mbaraka Mwinshehe
 
Yes. Story nilishawahi kuisoma lakini nimeishau kidogo.

Hivi mume wake baada ya kuambiwa kuwa aliyeiambiwa kwenye ule wimbo ni mkewe alimfukuza, siyo?
Kuna mkanganyiko hapo kuna waliosema Kuna hidaya mwingine

Ila huyu sijajua km alikuwa na mume ama la maake inadaiwa alikuwa kupata watoto na jamaa Ila baadaye akarudi Tzs mpk umauti
 
Kuna mkanganyiko hapo kuna waliosema Kuna hidaya mwingine

Ila huyu sijajua km alikuwa na mume ama la maake inadaiwa alikuwa kupata watoto na jamaa Ila baadaye akarudi Tzs mpk umauti
Najua watu wengine wanajirungia tu story. Sasa sijui ukweli ukoje.
 
Back
Top Bottom