Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.

Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Njia rahisi ya usafiri na usafirishaji kupitia maji.
 
Back
Top Bottom