MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Morogoro ni Pwani isiyo na Bahari, Kama mtangulizi hapo juu alivyocomment Morogoro ya enzi hizo sio hii ya sasa, zamani ilikuwa Morogoro kweli kweli, enzi zetu likizo na wazazi tulipenda kupumzika Morogoro kabla ya kwenda kijijini na pia kurudi toka kijijini tulipumzika kidogo Morogoro.Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee.
Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Mbona mnashindwa kushughulisha vichwa,Kijiji-Mji-Jiji...fikiria wakati Dar ni mji na inafananishwa na Moro,kwingine kulikuaje??G-Z shiidaHuu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Umaarufu wa Moro umepungua? Hako kamji ni kadogo ila kamechangamka sana. Hapo Msamvu tu kuna hotels kama 30 hivi na zote huwa zinajaa. Moja ya miji yangu pendwa kwa ajili ya mapumziko.Walikuwa wanajaribu kuulinganisha na DSM. Lakini naona umaarufu wake umepungua sana siku hizi
Umaarufu wa Moro umepungua? Hako kamji ni kadogo ila kamechangamka sana. Hapo Msamvu tu kuna hotels kama 30 hivi na zote huwa zinajaa. Moja ya miji yangu pendwa kwa ajili ya mapumziko.
Yeah hilo ni kweli ila kamji fulani kamechangamka sana. Na SGR imeipa Moro wageni wengi sana wanaoenda Mikumi na sehemu nyungine.Naona kwenye media na trending hakapo kabisa
Yeah hilo ni kweli ila kamji fulani kamechangamka sana. Na SGR imeipa Moro wageni wengi sana wanaoenda Mikumi na sehemu nyungine.
Noma kweli...Chome Kilimanjaro kwa kina secretarybird
Em badilisha hiyo Avatar mzee ๐Noma kweli...
Hii avatar mke wangu Seran anaipenda sana. Nikiibadili anashikwa na homa.Em badilisha hiyo Avatar mzee ๐
Ooh i love her so much, you are my symphony, we are unit you are energy..... Kipenzi changu Seran na masai dadaHii avatar mke wangu Seran anakupenda sana. Nikiibadili anashikwa na homa.
Ni ushamba tu wa wakazi asilia wa Morogoro wakitambiana na watani na majirani zao wazaramo kwamba mji wetu hauna tofati na wa kwenu (Dar es Salaam). Ni bahari tu imekosekana but they're more or less the same.Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.
Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Chunga sana bwamdogo! Seran nampenda, yeye ananipenda.Ooh i love her so much, you are my symphony, we are unit you are energy..... Kipenzi changu Seran na masai dada
Itapendeza sana kama kafirst boni ketu kakiwa na macho kama haya.Iache mme, tena kafirst born ketu kaje na sura ya namna hiyo๐