Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Chunga sana bwamdogo! Seran nampenda, yeye ananipenda.

Hivyo anapendana nami, napendana naye 😎
Kipenzi changu jojo a.k.a manyong'ode ama Seran lady from sukuma community i love her hata nusu ya utajiri wangu nampa yeye, seran karibu ooh, karibu yangu, nikupeleke kwa baba atatupatia mali tufunge ooh ndoa. Ya wote huku secretarybird akibamizana na BICHWA KOMWE wakituonea wivu maninaaaaaa
 
Unataka kugombana na baba yako naona😊
 
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.

Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi

Ukiacha hali ya hewa nzuri na mandhari ya kijani, Moro ulikuwa ni mji wenye kila kitu isipokuwa bandari tu (alternatively bahari)...

Moro ilijaaliwa kuwa na viwanda vikubwa (ajira) ambavyo vingi vimekufa, Moro ilikuwa ina timu kali ya mpira wa miguu ya Reli iliyozisumbua Simba na Yanga kwa kuwa na wachezaji wakali kama Duncan Butinini, David Mihambo, Mbuyi Yondani n.k, ukiavha na kabumbu Moro ilikuwa ni kitovu cha muziki wa kadansee, yaani madoni wa Dar walikuwa wanatoka Dar kwenda Moro kusakata rhumba...
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.

Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
 
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji.

Kagera ni mji hamna bahari.
Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu katika utumishi
Nini maana ya morogoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…