Morogoro mji kasoro bahari, kwani zamani ilikuwa lazima mji kuwa na bahari

Maana yake Ulikuwa ni Mji mzuri sana wenye kila kitu kasoro bahari tu.

-kulikuwa na viwanda.
-Mashamba makubwa ya mikonge na Estate nyingine.
-Wingi wa mazao ya kila namna Mchele, Mahindi, alizeti karanga,Nyanya nk.
-Bendi za muziki, kumbi za starehe zilikuwa za kutosha.
-Vyuo na taasisi mbali mbali za kielimu.
-Safu za Milima, maporomoko ya maji nk.

ULIKUWA MJI WENYE KILA KITU KASORO BAHARI.
 
Hapo imesema na nauli ilikuwa 600 tuu na msemo wa gari za luxury coaster ulipoanzia. Pale juwata to Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…