Ule uzi unanitiaga kinyaa hata siuwezi kabisa, nilisoma na ule wa fantasy aisee shetani yuko humu ndani usione watu wanaanzisha nyuzi za kumpinga Mungu ukahisi ni mchezo tu!Wapo wengi nenda uzi wa kula masihara kule walifunguka mpk wa kinyume na π afu wakikuta uzi mwingine wanajifanya kukataa huku wanafanya
Eeeh hatare sana π€£πUle uzi unanitiaga kinyaa hata siuwezi kabisa, nilisoma na ule wa fantasy aisee shetani yuko humu ndani usione watu wanaanzisha nyuzi za kumpinga Mungu ukahisi ni mchezo tu!
Maana yake Ulikuwa ni Mji mzuri sana wenye kila kitu kasoro bahari tu.
-kulikuwa na viwanda.
-Mashamba makubwa ya mikonge na Estate nyingine.
-Wingi wa mazao ya kila namna Mchele, Mahindi, alizeti karanga,Nyanya nk.
-Bendi za muziki, kumbi za starehe zilikuwa za kutosha.
-Vyuo na taasisi mbali mbali za kielimu.
-Safu za Milima, maporomoko ya maji nk.
ULIKUWA MJI WENYE KILA KITU KASORO BAHARI.
i love you moreπOoh i love her so much, you are my symphony, we are unit you are energy..... Kipenzi changu Seran na masai dada
Yeah! Yule wa Arusha ehh!Ni yupi na venye napenda modernized woman
secretarybird ulibahatika kumuona ama kumsoma Hidaya wa pepe kale ??
Hapana dada wa mjini enzi hizoYeah! Yule wa Arusha ehh!
Nilizipitia japo siikumbuki vizuri maana ilikuwa kitambi kidogo.
Hivi alikuwa dereva wa teksi, siyo?
π€© Umeshindaje kipenzi changui love you moreπ
Si alikuwa wa kule Arusha mkuu?Hapana dada wa mjini enzi hizo
Eeeh Binti wa kichagaSi alikuwa wa kule Arusha mkuu?
Yes. Story nilishawahi kuisoma lakini nimeishau kidogo.Eeeh Binti wa kichaga
Kuna mkanganyiko hapo kuna waliosema Kuna hidaya mwingineYes. Story nilishawahi kuisoma lakini nimeishau kidogo.
Hivi mume wake baada ya kuambiwa kuwa aliyeiambiwa kwenye ule wimbo ni mkewe alimfukuza, siyo?
Najua watu wengine wanajirungia tu story. Sasa sijui ukweli ukoje.Kuna mkanganyiko hapo kuna waliosema Kuna hidaya mwingine
Ila huyu sijajua km alikuwa na mume ama la maake inadaiwa alikuwa kupata watoto na jamaa Ila baadaye akarudi Tzs mpk umauti
Nimepoteza kipenzi changu nchini TanzaniaNajua watu wengine wanajirungia tu story. Sasa sijui ukweli ukoje.
Shikamo marahaba 'tintinti', shikamo marahaba 'tintinti' πΆπ΅π₯β€οΈπ₯°Nimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania
Marhaba sjui nitamkuta mwanza, dasalama ama Arusha ama mrokoraShikamo marahaba 'tintinti', shikamo marahaba 'tintinti' πΆπ΅π₯β€οΈπ₯°
Noma sana πMarhaba sjui nitamkuta mwanza, dasalama ama Arusha ama mrokora
Miaka ya nyuma kidogo kalikua kana trend kwa ajali za barabaraniNaona kwenye media na trending hakapo kabisa
nipo poa dearπ€© Umeshindaje kipenzi changu