Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

Asiyempenda kaja. Kanjibhai ajiandae kwenda Gujarat. Na huyu alitajwa kwenye Panama papers. Anaikusanya hela bongo anaenda kuficha carrebian..atacheua hela zetu..kapewa kiwanda cha moproco badala ya kuzalisha mafuta kafanya godown na ccm wanamwangalia tu
 
Asiyempenda kaja. Kanjibhai ajiandae kwenda Gujarat. Na huyu alitajwa kwenye Panama papers. Anaikusanya hela bonge anaenda kuficha carrebian
Aboud Ni MTANZANIA km ulivyo wewe....

Ama Wewe Ni zaidi Ya Wengine?!!
 
Hili nalo unataka ushahidi ?
Mkuu Sasa unatuhumu Vipi watu katika Mambo ya miamala?!!

Mkuu ulikuwa ni dalali was kufanikisha deal?!!

Ingependeza ukatuwekea ACCOUNT no.mzigo ulipoingilia ama hta kapicha watu walipokea SANDARUSI lenye NOTI.....

Mkuu RBC najua uko kikampeni zaidi😂😂😂
 
Back
Top Bottom