Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Ney wa mitego mnamfananisha na Yesu, hivi vijana wa CHADEMA Mmelogwa na nani ?
 
Kichaa kapewa rungu. Hehehehe
Ndugu yake yesu kakasirika leo. Ngoja aendelee kuiga uganda, nchi ambayo hata uchumi tunaipiga gepu mbali sana, ni kama profesa kufundishwa na mtoto wa primary.
 
alitoa nyimbo nzuri ila nilijua lazima akae sehemu mbaya.
 
Napita kuna uhuru wa kuongea
Uhuru wako ukiutumia vibaya ujue unajigharim mwenyewe.

Nani alikupa Uhuru wa kutukana? Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hakuruhusu kila kitu ujifanyie unavyotaka bana.

Hakuna Uhuru wa kutukana,kukejeri,na kutumia lugha ya maudhi.
 
Kumkamata mnazidi mpa kiki... Wimbo utavuma zaidiii...
 
Hakuna kesi hapo ni kuzidi kumpaisha. Labda wambambikie ngada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…