Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ney wa mitego mnamfananisha na Yesu, hivi vijana wa CHADEMA Mmelogwa na nani ?Yesu alimaliza kazi yake ndipo akasurubiwa lakini mbegu ya neno ilikuwa ishapandwa kwenye mioyo ya wanadamu..
Ney kasha fanya kazi...
Kumkamata nikusaidia tu wimbo uwafikie watu wengi zaidi,wengi watataka kujua ameimbaje hata kumpelekea akamatwe?; kwa hivyo serkali inajitshidi kujinyoga yenyewe