Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Morogoro kulikuwa na cuban marimba ya salum abdala,morogoro jazz na baadae super volcano na kwiro jazz kama sikosei.zingine huwezi kuita band bali vikundi tu,ifajara jazz,malinyi jazz,kilombero jazz nk
Kwiro Jazz ilikuwa ya wapogoro ?
 
Kigoma ilifuata baada ya Morogoro hata ukija upande wa mpira na ngumi bado Moro iko mbali sana.
 
Morogoro namba moja, unafuatiwa na Kigoma namba mbili, Tabora na Tanga nambari tatu.

Sisi Shinyanga ni Mwanamalundi na Pawa Mabula na lundo la Wachawi.
 
Upo sahihi ata kwa upande wa vipaji vya boxing na soccer ,na iyo inatokana na kila mtaa kuwa na uwanja wa michezo na ligi mbalimbali hadi za njiwa😂😂tofauti na mikoa mingine , moro kitu kinachowakutanisha watoto na vijana kila jioni ni mpira wa miguu, tofauti na mikoa mingine, na sa hivi kuna boxing imeongezeka na music, list ya wacheza mpira naowahafu na nimeshuhudia hustle zao

1. Kibwana shomari
2. Dickson Job
3.Mzamiru
4.Nickson kibabage nk
 
Kipindi cha dcc mlimani park ya gurumo. Ukiangalia hapo utaona bado moro jazz ni ya zamani sana.
Sizungumzii uzamani, bali ubora, umahiri na idadi ya wahusika. Huwezi kuwa na watu 5 bora ukalinganisha na yule mwenye watu 50 walio nguli.
Hata kizazi hiki Kigoma ni mhimili ktk ulimwengu wa muziki.
Kwenye soka Moro iko mbele kuliko Kigoma, ila muziki kuna gap kubwa baina yao
 
Morogoro namba moja, unafuatiwa na Kigoma namba mbili, Tabora na Tanga nambari tatu.
Hapo uko sawa 💯 moro imetoa vipaji kiukweli si mpira si ngumi na muziki ndio usiseme.
 
Upo sahihi ata kwa upande wa vipaji vya boxing na soccer ,na iyo inatokana na kila mtaa kuwa na uwanja wa michezo na ligi mbalimbali hadi za njiwa😂😂tofauti na mikoa mingine , moro kitu kinachowakutanisha watoto na vijana kila jioni ni mpira wa miguu, tofauti na mikoa mingine, na sa hivi kuna boxing imeongezeka na music, list ya wacheza mpira naowahafu na nimeshuhudia hustle zao

1. Kibwana shomari
2. Dickson Job
3.Mzamiru
4.Nickson kibabage nk
Aishi Manula
Shomari kapombe
 
Sizungumzii uzamani, bali ubora, umahiri na idadi ya wahusika. Huwezi kuwa na watu 5 bora ukalinganisha na yule mwenye watu 50 walio nguli.
Hata kizazi hiki Kigoma ni mhimili ktk ulimwengu wa muziki.
Kwenye soka Moro iko mbele kuliko Kigoma, ila muziki kuna gap kubwa baina yao
Kimuziki moro ilitangulia na ndio ilikuwa kisima cha burudani. Huwezi taja muziki wa Tanzania bila kuitaja Morogoro. Ijapokuwa kigoma imeibuka na inakimbiza kutokana na wengi kuwa wa asili ya Congo.
 
Back
Top Bottom