Dibwe kulu
Member
- Oct 15, 2020
- 15
- 11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusarawe alipozikwaChalinze kukunja kushoto kuelekea wp??
Rubbish.Muongo mkubwa wewe..morogoro ni moja ya mikoa yenye wageni wengi zaidi hapa Tz chunguza hata matajiri wakubwa wa huu mkoa ni wageni...
Mji wa ifakara asilimia kubwa ya maduka makubwa ni ya wachaga na changamoto ni kwamba mchaga mwenzao akifa wanafunga maduka yote wanenda msibani
Ukiingia wilaya ya malinyi ni Kama umeingia usukumani jinsi walivyojaa
Njoo kilosa uone wagogo na wamasai walivyo wengi..
Nenda mahenge ulanga Kuna Kijiji kinaitwa ilonga hapo ni wandindo wa liwale walikuja enzi hizo wamezalia na vizazi vyao vimetapakaa moro yote
Sasa wewe sijiu unasemea morogoro ipi
MINOCYCLINE ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' hivyo ukiona naandika Jambo hapa jua kwa 100% ni sahihi kabisa.Ni mkoa mzuri sana na wenye vipaji lukuki lakini naungana na MINOCYCLINE hapo juu kwa hoja alizotoa maana ni ukweli mtupu,japokuwa vipaji ni kweli vipo aisee maana tukiangalia nyanja hizi tunapata jibu...
1.Kisoka...
Ukiachana na timu za Dar Morogoro inafuatia kuwa na timu nyingu zilizowahi kutwaa taji la ligi kuu nazo ni Mtibwa Sugar na Mseto ukiachana na Tukuyu stars ya Mbeya hakuna mkoa uliowah kufanya hivyo hapa Tz..na kuna timu ilikuwa inaitwa reli "kiboko ya vigogo" Simba na Yanga zilikuwa hazitoki zikicheza na timu hii
Morogoro ni nyumba ya vipaji vya soka tangu zamani Kina Mohamed Msomali,Malota Soma,Zamoyoni Mogella,Charles Boniface Mkwasa(alilelewa na dada yake mtaa wa karume Morogoro tangu akiwa kijana mdogo) na wengineo magwiji wa zamani,kwa sasa wapo kina Mkude kibabage,Dickson Job,Aishi Manula,Kelvin wa Genk,Shomari Kapombe,Kibwana Shomari n.k
2.Ngumi
Hakuna asiyejua kwamba ukitoa Dar Moro ina ufalme wake katika ngumi Francis Cheka,Cosmas Cheka,Twaha Kiduku,Mandonga na wengine kibao wanatoka Moro
3.Muziki
Zamani watu dansi walikuwa wanalifuata Moro kutoka dar kuja kuwaona Cuban Marimba ya Salum abdallah na baadae Juma Kilaza na Moro Jazz ya Mbaraka Mwishehe,,Wasanii wa Moro kwa sasa ni Rich Mavoco,Jay Melody,Belle 9,Dayna,Conboi,Tundaman na wengineo hata Salam, Babu Tale wanatokea Moro
Mwandishi wa comment hii aliishi Moro kuanzia 1982-1993
Na mtunzi/muimbaji ni marehemu chifundaTabora Jazz
Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo. Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe , twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k. Huwezi kwa sasa Tanzania kuulinganisha mkoa wa morogoro kwenye burudani na michezo na mkoa wowote ule hata kigoma bado ipo mbali na itasubiri kwa morogoro View attachment 2365081
Mbeya, ukifuatiw na ArushaNa mkoa upi unaongoza kwa majambazi wengi?
Ila ndiyo Mkoa uliojaa Majungu, Wivu, Fitina, Chuki kwa wasio Wazawa na Ushirikina uliopitiliza.
Lete Mandonga...Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo. Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe , twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k. Huwezi kwa sasa Tanzania kuulinganisha mkoa wa morogoro kwenye burudani na michezo na mkoa wowote ule hata kigoma bado ipo mbali na itasubiri kwa morogoro View attachment 2365081
😂 Sasa mbona morogoro ndio wamejaa kibao?Kwa Mimi hata ukitaka takwimu nakupa Tanga ndo namba moja .
Nakutajia baadhi .
1.kusah
2.platfom Tz
3.Ruby
4.mb doggy
5.suma lee
6.bonga product wa harmonize
7.kassimu mganga
8.bwana misosi
9.lulu diva
10.chuchu hansy
11.Hemed PhD
12.Roma
13.mwana Fa
14.Matonya
Hata madee na divethebawse asili zao ni Tanga
Hao baadhi tu
Ngumi
1.Matumla
2.Bakari mwambea
3.mwakinyo
4. Shabani kaoneka ni msambaa wa Tanga
Wachekeshaji sitakutajia kabisa unawajua
Mpira:singano Messi, mahadhi, abdi Banda, mwamnyeto na wapo kibao hata ajibu ana asili ya Tanga
Bandi : Kilimanjaro band au njenje
Watu wakubwa kama . Shaban robert
Wanasiasa ndo kibao: shekilango Hadi ana mtaa huko sinza, Kuna wakina shelukindo, Abdallah kigoda, mwantumu mahiza, wakina professor riziki shemdoe, shekhe mkuu wa Tanzania, kijazi ,sijataja hawa wakina ummy list ni ndefu utasema nn
Hamna kitu taja chipukizi wawili tu hapa ...Tanga ndo mwanzo wa burudani hata useme tufungue vault hapa hakuna mkoa ukitoa dar unaweza kufikia Tanga ..naona hujiamini mpaka unaanzisha Uzi😂😂😂😂😂 Sasa mbona morogoro ndio wamejaa kibao?
😂😂😂😂Instizuuu dodoma🤣 Endelea kuamini kwao ni dodoma ila akazikwa morogoro na baba yake ni mluguru.
Ukifuata asili utakuta hata wewe sio wa kabila lako.Lakini pia ni vizuri kuangalia na asili zao wanakotokea je! ni wazawa wa Moro au maana kama hao akina Francis cheka hao ni wamakonde
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app