Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unajifariji Tanga Ina chipukizi mwaka huu machalii kama kusah na platfom tz wanabamba nitajie msanii wq kike kutoka moro anaweza kufika hata robo ya RubyTanga vipaji vipo ila sio level za morogoro kwa maana morogoro haijawahi kupokoa hata siku moja kwenye kuzalisha vipaji?
Unajifariji Tanga Ina chipukizi mwaka huu machalii kama kusah na platfom tz wanabamba nitajie msanii wq kike kutoka moro anaweza kufika hata robo ya RubyTanga vipaji vipo ila sio level za morogoro kwa maana morogoro haijawahi kupokoa hata siku moja kwenye kuzalisha vipaji?
Accumen Mo nitajie band kongwe Tanzania kuliko moro jazz band!
😂😂😂😂Sitaja wasanii kule ndo lango la burudani hata ufanyeje sema watu wa Tanga sio wapiga kelele mitandaoni wale ni mapenzi tu.Hizo ni za juzi hapa hiyo Moro jazz ilianzishwa miaka ya 30s
Angalia ngoma za waziri ally kachori, tupendane ,kinyaunyau zilivyobamba miaka iyo 😂😂😂 watu wako kimya hawanaga kick Jana alianza jamaa wa Arusha leo Moro hamjiaminiHizo ni za juzi hapa hiyo Moro jazz ilianzishwa miaka ya 30s
Miziki ipo kugoma hata soka ,kaseja ,sure boy baba na mtoto ,Runyamila ,Ndio maana huwezi walinganisha na mikoa mingine, vinginevyo mtu useme kiushabiki
Hassan rehan bichuka,,,juma kitambi mwanzilishi wa wimbo wa rangi ya chungwa,,zahorro bangwe,,abdul misambano nk
Hassan Bichuka, Zahil Zoro n.k
Morogoro namba moja, unafuatiwa na Kigoma namba mbili, Tabora na Tanga nambari tatu.
Sisi Shinyanga ni Mwanamalundi na Pawa Mabula tu.
ID yangu hapa inasomeka ya huyo Mume / Basha wenu ambaye Kutwa hamchoki Kumjadili na Kumshobokea hapa JamiiForums?Eti mkuu,, wewe ndie genta?
Christiana shusho,upendo nkone, Asenti Butati, diamond,Kiba, baba levo, mwasiti,dimpozi,Kiba mdogo, Sarafina, banana,maunda, zahiri zoro,Chege,Hassan rehan bichuka,,,juma kitambi mwanzilishi wa wimbo wa rangi ya chungwa,,zahorro bangwe,,abdul misambano nk
Labda kigoma ya burundi..Linapokuja suala la burudani hususani muziki, Kigoma iko sayari ya 7 kutoka sayari ya Tanzania.
Tangu huko nyuma kuna wasanii wengi nguli kama akina Bichuka n.k, hivyo vyovyote utakavyo linganisha, Kigoma hailinganishwi na mkoa wowote.
Ni sawa uilinganishe Mbeya na mkoa wowote kwenye masuala ya Ukristo(uimbaji wa Gospel, idadi ya nyumba za ibada n.k), hapo unakuwa unajilisha upepo maana ina watu ngulii haswaa kibao ambao mikoa mingine hawapo.
Ilo jina to lenyewe Mogera ni kutoka koo za uruguruni..Hivi Zamoyoni Mogela hakuwa wa Morogoro?
Uyo Diamond mtoe apo na umfatilie vzuri utajua asili yake ni wap??Christiana shusho,upendo nkone, Asenti Butati, diamond,Kiba, baba levo, mwasiti,dimpozi,Kiba mdogo, Sarafina, banana,maunda, zahiri zoro,Chege,
Ukisikiliza wimbo wa leka tutigite ndio utaijua kg ni babalao
USSR
Unaposema morogoro ni mkoa unaopiga vta wageni utakuwa unakosea kabisa..Na hii ndio sababu mkoa huu unadumaa licha ya kuwa na sifa nyingi kama alizoainisha mtoa mda, wenyeji wanapiga vita wawekezaji wageni kila leo..
Bagamoyomdoe ndio kabila lipi hilo,wanapatikana wapi lugha yao ikoje inaongelewa wapi