Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Ukitaka kuongea muziki wa dansi uliingiaje nchini ni muhimu kujua historia ya mji wa Tanga. Tanga ndipo muziki wa dansi ulipoingilia nchini. Wajerumani waliusambaratisha mji wa Tanga kwa mizinga kati mwaka 1888 na 89.

Na baada ya hapo kuujenga upya kwa kufuata mpangilio uliosababisha Tanga kuwa na mitaa maarufu kama barabara ya kwanza ya pili na kuendelea. Wajerumani walianzisha shule ya kwanza ya serikali Tanga 1892 na hapohapo wakanzisha bendi ya shule ya kwanza, pamoja na kuwa Wajerumani hawakutawala muda mrefu baada ya hapo lakini Waingereza waliiendeleza sana bendi hiyo iliyokuwa ikipiga aina mbalimbali za muziki wa kigeni.

Dansi ilianza kwanza kama klabu ambapo watu walialikana kuja kucheza aina mbalimbali za muziki wa kizungu mtindo maarufu unaojulikana kama ballroom dancing. Aina hizi za klabu zilianzia Mombasa na kuingia nchini kupitia Tanga na kisha kuletwa Dar Es Salaam na klab iliyokuwa maarufu Tanga iliyoitwa Tanga Young Comrades Club, klabu nyingine ilianzishwa ikaitwa New Generation Club ambayo ilianzisha matawi miji mbalimbali. Klabu hizi ndizo zilizozaa bendi za dansi.

Inaonekana Dar es Salaam ndio ilikuwa ya kwanza kuwa na bendi yake African Association Jazz Band, ambapo wanamuziki wengine waliihama na kuanzisha Dar Es Salaam Jazz Band, hiki kilikuwa kipindi kati ya miaka 1930 na 1940, kwenye 1950 kulikuwa na bendi maarufu Bagamoyo iliyoitwa Lucky Star jazz band ambayo ilikuwa na urafiki na Dar Jazz

Nimeitoa sehemu na kuileta humu ikiwa.
 
Uko sahihi,kigoma,morogoro ba tanga ndio inaongoza kwa talent
Lakini picha ya mbaraka mwinshehe sijajua inafuata nini hapo
Mbaraka alipitia morogoro jazz na super volcano zote za morogoro ila hakuwa mlugulu bali alikuwa mdoe
Kumbuka alifia kenya kwa ajali.
Sasa siku maiti yake inaletwa tanzania msafara kufika chalinze watu wakajua utakunja kulia,badala yake ukakunja kushoto,hakuzikwa morogoro
Tena kwa kuongezea tu Mbaraka kwao ni Mzenga Mkoa wa pwani
 
Miziki ipo kugoma hata soka ,kaseja ,sure boy baba na mtoto ,Runyamila ,

Usilinganishe kigoma na takataka za Morogoro

USSR
Band yakwanza Tanzania nzima ilikuepo Moro jazz acha ubishi jombii
 
Ukitaka kuongea muziki wa dansi uliingiaje nchini ni muhimu kujua historia ya mji wa Tanga. Tanga ndipo muziki wa dansi ulipoingilia nchini. Wajerumani waliusambaratisha mji wa Tanga kwa mizinga kati mwaka 1888 na 89.

Na baada ya hapo kuujenga upya kwa kufuata mpangilio uliosababisha Tanga kuwa na mitaa maarufu kama barabara ya kwanza ya pili na kuendelea. Wajerumani walianzisha shule ya kwanza ya serikali Tanga 1892 na hapohapo wakanzisha bendi ya shule ya kwanza, pamoja na kuwa Wajerumani hawakutawala muda mrefu baada ya hapo lakini Waingereza waliiendeleza sana bendi hiyo iliyokuwa ikipiga aina mbalimbali za muziki wa kigeni.

Dansi ilianza kwanza kama klabu ambapo watu walialikana kuja kucheza aina mbalimbali za muziki wa kizungu mtindo maarufu unaojulikana kama ballroom dancing. Aina hizi za klabu zilianzia Mombasa na kuingia nchini kupitia Tanga na kisha kuletwa Dar Es Salaam na klab iliyokuwa maarufu Tanga iliyoitwa Tanga Young Comrades Club, klabu nyingine ilianzishwa ikaitwa New Generation Club ambayo ilianzisha matawi miji mbalimbali. Klabu hizi ndizo zilizozaa bendi za dansi.

Inaonekana Dar es Salaam ndio ilikuwa ya kwanza kuwa na bendi yake African Association Jazz Band, ambapo wanamuziki wengine waliihama na kuanzisha Dar Es Salaam Jazz Band, hiki kilikuwa kipindi kati ya miaka 1930 na 1940, kwenye 1950 kulikuwa na bendi maarufu Bagamoyo iliyoitwa Lucky Star jazz band ambayo ilikuwa na urafiki na Dar Jazz

Nimeitoa sehemu na kuileta humu ikiwa.
Miaka hiyo ala za muziki ulipokuja kuingia Moro ndipo wasanii wengi wakubwa walitokea huko, hata marijani rajabu naye anasema Morogoro ilikuwa balaa lingine.
 
Accumen Mo leo ukitafta muziki mzuri utaukuta Moro. Angalia hata bongo fleva iliasisiwa Morogoro ndipo wakina profesa jay walipotokea.
 
😂😂😂Kaa chini uliza usije unakurupuka asili ya bongo fleva Moro na Tanga unakosea ,Tanga ni best niweka list kama unabisha tafuta chat za miaka ya 2009 kurudi nyuma angalia Nan walibamba kama ulikuwa hujui unaweka ushabikia miaka ya 2006 mpambano ulikuwa wa mb doggy na matonya Nan zaidi wot ni WA Tanga.

Huwezi kuzungumzia National anthem na song kali la bongo miaka ya 2000s ukaacha nyimba ya "bongo.com" ya TANGA SQUARD (TNG SQUARD) nyie bado sana kabisa yaani unashindwa kuelewa nimweka list wewe weka list sio maneno mengi Tango ndo home of talents kwa bongo
 
Accumen Mo leo ukitafta muziki mzuri utaukuta Moro. Angalia hata bongo fleva iliasisiwa Morogoro ndipo wakina profesa jay walipotokea.
Nakutajia hawa mabondoi ambao wamfika mbali hata nje wamepigana

1.mwakinyo kwa bongo hana mpinzani kwa sasa ndo namba moja
2.salum mtango
3.bakari mwambea
4.Matumla
5.kuna huyu Khalid anaenda kupigana na mandonga huko mtwara kesho utakuja kunipa mrejesho😂😂😂
 
Miaka hiyo ala za muziki ulipokuja kuingia Moro ndipo wasanii wengi wakubwa walitokea huko, hata marijani rajabu naye anasema Morogoro ilikuwa balaa lingine.
Watanga ni wakimya sana ila mziki na nyie hamna kitu mbele ya Tanga hata nusu hamfiki !!! Jiangalie Tanga sio wapiga kelele coz wamestaarabika kuliko nyie hata maendeleo waliyapata zamani kuliko nyie palikuwa na Kambi za wakoloni kuliko nyie Moro ni mji wa juzi tu!!! Kama unabisha taja list ya wasanii hapa wa Moro kama unawajua

Kumbuka yule mgosi anaitwa Dr leader alikimbia "Mimi msambaa'

Fuatilia azam kupelekea mpambano wa khalidi na mandonga kesho mtwara then pale wanahojiwa ni kwamba 70% sekta ya burudani na michezo imeanza Tanga.

Tanga sio watu wa kick wengi wakimya sio sifa sifa sio wabaguzi ...na wengi ngumu kuwajua coz wanajichanganya sana
 
Accumen Mo leo ukitafta muziki mzuri utaukuta Moro. Angalia hata bongo fleva iliasisiwa Morogoro ndipo wakina profesa jay walipotokea.
Sijawai kusema Zanzibar kwetu ila Tanga ni kiboko kama unabisha taja wasanii wa kwenu usipige kelele ni mara mbili ya watanga😂😂😂😂 bongo ilikuwa imeshikwa na matonya na mb doggy ninavyojua hapa dar kila kona wanabamba kwa nyimbo za mapenzi
 
Watanga ni wakimya sana ila mziki na nyie hamna kitu mbele ya Tanga hata nusu hamfiki !!! Jiangalie Tanga sio wapiga kelele coz wamestaarabika kuliko nyie hata maendeleo waliyapata zamani kuliko nyie palikuwa na Kambi za wakoloni kuliko nyie Moro ni mji wa juzi tu!!! Kama unabisha taja list ya wasanii hapa wa Moro kama unawajua

Kumbuka yule mgosi anaitwa Dr leader alikimbia "Mimi msambaa'

Fuatilia azam kupelekea mpambano wa khalidi na mandonga kesho mtwara then pale wanahojiwa ni kwamba 70% sekta ya burudani na michezo imeanza Tanga.

Tanga sio watu wa kick wengi wakimya sio sifa sifa sio wabaguzi ...na wengi ngumu kuwajua coz wanajichanganya sana
Nitajie msanii wa tanga ambaye ameasisi bongo fleva nimekaa pale nasubiri jibu.
 
Bongo fleva NJ ya dully Sykes fuatilia anatokea wapi sasa hao sijui sugu walioanzisha mziki Kuna phase ambazo nyie hamjawai kutia mguu za mapenzi Tanga MD doggy na matonya ..baada ya kupotea ndo wakashika kigoma mpaka leo

Nyie mna msanii gani mkubwa kwa sasa zaidi ya mbosso ..sisi kusah,platfom Tz, rubby wanabamba
Nitajie msanii wa tanga ambaye ameasisi bongo fleva nimekaa pale nasubiri jibu.
 
Bongo fleva NJ ya dully Sykes fuatilia anatokea wapi sasa hao sijui sugu walioanzisha mziki Kuna phase ambazo nyie hamjawai kutia mguu za mapenzi Tanga MD doggy na matonya ..baada ya kupotea ndo wakashika kigoma mpaka leo

Nyie mna msanii gani mkubwa kwa sasa zaidi ya mbosso ..sisi kusah,platfom Tz, rubby wanabamba s
Nitajie msanii wa tanga ambaye ameasisi bongo fleva nimekaa pale nasubiri jibu.
 
Linapokuja suala la burudani hususani muziki, Kigoma iko sayari ya 7 kutoka sayari ya Tanzania.

Tangu huko nyuma kuna wasanii wengi nguli kama akina Bichuka n.k, hivyo vyovyote utakavyo linganisha, Kigoma hailinganishwi na mkoa wowote.

Ni sawa uilinganishe Mbeya na mkoa wowote kwenye masuala ya Ukristo(uimbaji wa Gospel, idadi ya nyumba za ibada n.k), hapo unakuwa unajilisha upepo maana ina watu ngulii haswaa kibao ambao mikoa mingine hawapo.
Kweli mkuu, Kigoma imetoa wasanii na watu maarufu sana nchini kama vile kina mzee Bitchuka, hayati Marijani Rajabu, marehem sheikh Hussein Yahya, Edibily Jonas Lunyamila, Saidi Maulidi nk. Pia kwa sasa ni wana Kigoma kama Diamond, Ali Kiba, baba levo nk ndio wanaoongoza kuipeleka tasnia ya mziki wa Tanzania mbele.
 
Hapo umeongea ila sio Moro maana ukiwaambia wawataje hapa itakimbia
 
Back
Top Bottom