Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Izo ni nyimbo za dini...Mimi muislamu simtambui? Nimemwambia weka list hapa nakufa pale ukizidi vipaji vya nyie wachache sana labda kigoma ? Niweka list wasaanii 20 wewe weka hapa !!?
Afande sele tundaman stamina darasa belle 9 bahati bukuku rose muhando profesa jay oten joslin nash g squeezer dataz Zay b mwanadada gaidi sista p listi ni ndefu sana mkuu hapo bado kwa kina heri muziki
 
Ila ndiyo Mkoa uliojaa Majungu, Wivu, Fitina, Chuki kwa wasio Wazawa na Ushirikina uliopitiliza.
Mangwea amtoe maana sio wa Moro. Amekulia Dom lkn asili yake Songea mkoani Ruvuma.

Jamaa kapachika watu wasiokuwa wa Moro ili kujazia nyama uzi wake.
 
Mangwea amtoe maana sio wa Moro. Amekulia Dom lkn asili yake Songea mkoani Ruvuma.

Jamaa kapachika watu wasiokuwa wa Moro ili kujazia nyama uzi wake.
Mangwea baba yake mluguru sasa unabisha nini mkuu?
 
Mangwea baba yake mluguru sasa unabisha nini mkuu?
Aliekudanganya kuwa Mangwea baba yake ni mluguru ni nani? Hebu angalia vizuri wasifu wake hapo chini nimekuwekea.
 
Attachments

  • Screenshot_20220923-113932.jpg
    Screenshot_20220923-113932.jpg
    58.4 KB · Views: 5
Aliekudanganya kuwa Mangwea baba yake ni mluguru ni nani? Hebu angalia vizuri wasifu wake hapo chini nimekuwekea.
Kiasili ni mtu wa ruvuma kwa sababu ya kuchangia damu huko kwa babu zake ila baba yake ni mluguru na hujiulizi kwanini alizikwa Morogoro?
 
Kiasili ni mtu wa ruvuma kwa sababu ya kuchangia damu huko kwa babu zake ila baba yake ni mluguru na hujiulizi kwanini alizikwa Morogoro?
Mkuu kuzikwa Moro sio sababu, mbona kina Marijani Rajabu, sheikh Yahya Hussein na wengine wengi walizikwa Dar na wakati asili yao ni Kigoma na maeneo mengine ya nchi?

Historia ishakwambia walihamia Moro kikazi, laiti historia ingesema walienda kuishi Moro ilipo asili ya baba yake hapo ndo tungesema kuwa ni Mluguru.
 
Morogoro tumetoka wengi sana.....
Hata kwenye uongozi Dkt Ngasongwa,Martine Lumbanga,Celina Kombani, Profesa Ndulu Dkt Likwelile nk
Bila kumsahau mawakili wasomi kama Kibatala,Kusalika nk.
Morogoro imetoa watu wengi sana wenye vipaji vya hali ya juu anayebisha akale malimao/ndimu ya kutosha sana maana atakuwa na ujauzito mchanga.
Kwa kifupi ni Mkoa unaojitegemea kwa kila kitu isipokuwa madem tu ndo inategemea hisani kutoka Tanga😆
 
Afande sele tundaman stamina darasa belle 9 bahati bukuku rose muhando profesa jay oten joslin nash g squeezer dataz Zay b mwanadada gaidi sista p listi ni ndefu sana mkuu hapo bado kwa kina heri muziki
Haijafika taja tu endelea hawajafikia hata 15 mi nimetja 20 na kitu
 
Rangi ya chungwa ya kitambi ni mwenyeji wa tabora
hapana ndugu yangu mtunzi wa huu wimbo ni mzaliwa wa kigoma anaitqa juma kitambi anaishi kijiji kinachoitwa mwakizega,,huyu juma ni ndugu yake na hassan rehani bichuka,,tabora walikuwa wanafanya kazi tu kwenye bendi ya unyanyembe jazz,,ukimuhitaji huyu mzee nitafute hadi kwake nakupeleka
 
Back
Top Bottom