Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo.

Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe, twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k.

Huwezi kwa sasa Tanzania kuulinganisha mkoa wa morogoro kwenye burudani na michezo na mkoa wowote ule hata kigoma bado ipo mbali na itasubiri kwa morogoro

Kuna Kigoma pia, wametoja akina Said Sued "Scud" , Diamond Platnumz, Ali Kiba, Baba Levo, Mwijaku, Ommy Dimpoz, Barhan Muhuza, Zitto Kabwe nk
 
Kuna Kigoma pia, wametoja akina Said Sued "Scud" , Diamond Platnumz, Ali Kiba, Baba Levo, Mwijaku, Ommy Dimpoz, Barhan Muhuza, Zitto Kabwe nk
Linex,banana Zoro, msechu, chege chigunda, ray c na mdogo wake recho, mwansiti, dimpoz, hiyo ndo namba moja kwa bongo then Tanga ,Moro ,Dar na mbeya
 
Nakutajia hawa mabondoi ambao wamfika mbali hata nje wamepigana

1.mwakinyo kwa bongo hana mpinzani kwa sasa ndo namba moja
2.salum mtango
3.bakari mwambea
4.Matumla
5.kuna huyu Khalid anaenda kupigana na mandonga huko mtwara kesho utakuja kunipa mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema Salum Mtango namuona mbali akipata watu sahihi,anajua sana.
 
Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo.

Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe, twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k.

Huwezi kwa sasa Tanzania kuulinganisha mkoa wa morogoro kwenye burudani na michezo na mkoa wowote ule hata kigoma bado ipo mbali na itasubiri kwa morogoro

Lady jay d,Hashim thebit,Weusi,konde boy,diamond,Ali Kuna,ney wa mitego,nandy,Mr blue,Remy ongala,nteze John,lunyamila,
 
Kuna Kigoma pia, wametoja akina Said Sued "Scud" , Diamond Platnumz, Ali Kiba, Baba Levo, Mwijaku, Ommy Dimpoz, Barhan Muhuza, Zitto Kabwe nk
Uko sawa ila bado wa morogoro ni wengi mno na wengine huwezi wajua kama ni wa moro kwasababu ya historia zao nyingi haziwekwi wazi.
 
Linex,banana Zoro, msechu, chege chigunda, ray c na mdogo wake recho, mwansiti, dimpoz, hiyo ndo namba moja kwa bongo then Tanga ,Moro ,Dar na mbeya
We mtanga unahaha sana huyo ommy dimpoz baba yake kahojiwa kasema yeye sio muha. Diamond nae baba yake ni mluguru ni wa Moro.
 
We mtanga unahaha sana huyo ommy dimpoz baba yake kahojiwa kasema yeye sio muha. Diamond nae baba yake ni mluguru ni wa Moro.
Kuwa mvumilivu, hapo unabishana na waha,,,! Waha vs luguru, duh huu mtanange hatari, ila umenena vyema kwa vipaji kwa ujumla moro ndo chimbuko..sio kwa muziki tu, pia vipaji vingine kama ngumi, mpira n.k
 
mdoe ndio kabila lipi hilo,wanapatikana wapi lugha yao ikoje inaongelewa wapi
Wadoe wanapatikana huko Msata, katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Lugha yao ni kidoe ambacho kimechanganyika na kizaramo pamoja na Kikwere kwa mbali.
 
Kwa Mimi hata ukitaka takwimu nakupa Tanga ndo namba moja .

Nakutajia baadhi .

1.kusah
2.platfom Tz
3.Ruby
4.mb doggy
5.suma lee
6.bonga product wa harmonize
7.kassimu mganga
8.bwana misosi
9.lulu diva
10.chuchu hansy
11.Hemed PhD
12.Roma
13.mwana Fa
14.Matonya
Hata madee na divethebawse asili zao ni Tanga

Hao baadhi tu

Ngumi

1.Matumla
2.Bakari mwambea
3.mwakinyo
4. Shabani kaoneka ni msambaa wa Tanga
Wachekeshaji sitakutajia kabisa unawajua

Mpira:singano Messi, mahadhi, abdi Banda, mwamnyeto na wapo kibao hata ajibu ana asili ya Tanga
Bandi : Kilimanjaro band au njenje

Watu wakubwa kama . Shaban robert

Wanasiasa ndo kibao: shekilango Hadi ana mtaa huko sinza, Kuna wakina shelukindo, Abdallah kigoda, mwantumu mahiza, wakina professor riziki shemdoe, shekhe mkuu wa Tanzania, kijazi ,sijataja hawa wakina ummy list ni ndefu utasema nn
Solo Thang, wagosi wa Kaya, Mr Ebo wa Arusha ila mziki wote Alifanyia Tanga, TNG,

Kwenye Mpira Mzee wetu Joel Bendera kocha pekee Mzawa alieipeleka Tanzania Mataifa Africa na kulipa Coastal union Ubingwa ligi kuu.
 
😂 Sasa mbona morogoro ndio wamejaa kibao?
Vijana wengi wa Tanga Nchi ikiwa haina uchumi mzuri hata Hawakai Tanzania wengi wanazamia nje.

Kipindi cha Neema TZ 2005 mpaka 2015 muziki wa Nchi hii ulitawaliwa na Tanga kina Mwana Fa, Mb dog, Kasim, Matonya, Tng, Bwana Misosi, Wagosi wa Kaya, Dr leader, Mr Ebo mmasai etc

Kuna kipindi unakuta top 10 za music kwenye Radio na magazeti nyimbo 5 mpaka 8 kati ya 10 zinatoka Tanga.
 
Ebu mwambie !!!nilimwambia alete top 10 aone ya enzi izo baada ya hapo ndo Tanga ikakabidhi kijiti kwa kigoma mpaka leo iyo Moro yake sijui lini ilidominate mziki wa bongo fleva 😂😂😂
 
Back
Top Bottom