imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Aisee nilikuwa najua ni Msukuma na hilo jina sio la Kiha.lunyamila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nilikuwa najua ni Msukuma na hilo jina sio la Kiha.lunyamila
Kuna Kigoma pia, wametoja akina Said Sued "Scud" , Diamond Platnumz, Ali Kiba, Baba Levo, Mwijaku, Ommy Dimpoz, Barhan Muhuza, Zitto Kabwe nkMkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo.
Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe, twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k.
Huwezi kwa sasa Tanzania kuulinganisha mkoa wa morogoro kwenye burudani na michezo na mkoa wowote ule hata kigoma bado ipo mbali na itasubiri kwa morogoro
Linex,banana Zoro, msechu, chege chigunda, ray c na mdogo wake recho, mwansiti, dimpoz, hiyo ndo namba moja kwa bongo then Tanga ,Moro ,Dar na mbeyaKuna Kigoma pia, wametoja akina Said Sued "Scud" , Diamond Platnumz, Ali Kiba, Baba Levo, Mwijaku, Ommy Dimpoz, Barhan Muhuza, Zitto Kabwe nk
hapana huyo ni muhaAisee nilikuwa najua ni Msukuma na hilo jina sio la Kiha.
Sema Salum Mtango namuona mbali akipata watu sahihi,anajua sana.Nakutajia hawa mabondoi ambao wamfika mbali hata nje wamepigana
1.mwakinyo kwa bongo hana mpinzani kwa sasa ndo namba moja
2.salum mtango
3.bakari mwambea
4.Matumla
5.kuna huyu Khalid anaenda kupigana na mandonga huko mtwara kesho utakuja kunipa mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Lady jay d,Hashim thebit,Weusi,konde boy,diamond,Ali Kuna,ney wa mitego,nandy,Mr blue,Remy ongala,nteze John,lunyamila,Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo.
Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe, twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k.
Huwezi kwa sasa Tanzania kuulinganisha mkoa wa morogoro kwenye burudani na michezo na mkoa wowote ule hata kigoma bado ipo mbali na itasubiri kwa morogoro
Uko sawa ila bado wa morogoro ni wengi mno na wengine huwezi wajua kama ni wa moro kwasababu ya historia zao nyingi haziwekwi wazi.Kuna Kigoma pia, wametoja akina Said Sued "Scud" , Diamond Platnumz, Ali Kiba, Baba Levo, Mwijaku, Ommy Dimpoz, Barhan Muhuza, Zitto Kabwe nk
We mtanga unahaha sana huyo ommy dimpoz baba yake kahojiwa kasema yeye sio muha. Diamond nae baba yake ni mluguru ni wa Moro.Linex,banana Zoro, msechu, chege chigunda, ray c na mdogo wake recho, mwansiti, dimpoz, hiyo ndo namba moja kwa bongo then Tanga ,Moro ,Dar na mbeya
Kuwa mvumilivu, hapo unabishana na waha,,,! Waha vs luguru, duh huu mtanange hatari, ila umenena vyema kwa vipaji kwa ujumla moro ndo chimbuko..sio kwa muziki tu, pia vipaji vingine kama ngumi, mpira n.kWe mtanga unahaha sana huyo ommy dimpoz baba yake kahojiwa kasema yeye sio muha. Diamond nae baba yake ni mluguru ni wa Moro.
Ray C, iringa huyoLinex,banana Zoro, msechu, chege chigunda, ray c na mdogo wake recho, mwansiti, dimpoz, hiyo ndo namba moja kwa bongo then Tanga ,Moro ,Dar na mbeya
hapana ndugu huyo ni muha wa kigomaLunyamila ni wa kabila linaitwa waangaza!
Wadoe wanatokea msata wilaya ya bagamoyo mkoa wa Pwani.Bagamoyo
Wadoe wanapatikana huko Msata, katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.mdoe ndio kabila lipi hilo,wanapatikana wapi lugha yao ikoje inaongelewa wapi
Solo Thang, wagosi wa Kaya, Mr Ebo wa Arusha ila mziki wote Alifanyia Tanga, TNG,Kwa Mimi hata ukitaka takwimu nakupa Tanga ndo namba moja .
Nakutajia baadhi .
1.kusah
2.platfom Tz
3.Ruby
4.mb doggy
5.suma lee
6.bonga product wa harmonize
7.kassimu mganga
8.bwana misosi
9.lulu diva
10.chuchu hansy
11.Hemed PhD
12.Roma
13.mwana Fa
14.Matonya
Hata madee na divethebawse asili zao ni Tanga
Hao baadhi tu
Ngumi
1.Matumla
2.Bakari mwambea
3.mwakinyo
4. Shabani kaoneka ni msambaa wa Tanga
Wachekeshaji sitakutajia kabisa unawajua
Mpira:singano Messi, mahadhi, abdi Banda, mwamnyeto na wapo kibao hata ajibu ana asili ya Tanga
Bandi : Kilimanjaro band au njenje
Watu wakubwa kama . Shaban robert
Wanasiasa ndo kibao: shekilango Hadi ana mtaa huko sinza, Kuna wakina shelukindo, Abdallah kigoda, mwantumu mahiza, wakina professor riziki shemdoe, shekhe mkuu wa Tanzania, kijazi ,sijataja hawa wakina ummy list ni ndefu utasema nn
Vijana wengi wa Tanga Nchi ikiwa haina uchumi mzuri hata Hawakai Tanzania wengi wanazamia nje.😂 Sasa mbona morogoro ndio wamejaa kibao?
Ebu mwambie !!!nilimwambia alete top 10 aone ya enzi izo baada ya hapo ndo Tanga ikakabidhi kijiti kwa kigoma mpaka leo iyo Moro yake sijui lini ilidominate mziki wa bongo fleva 😂😂😂Vijana wengi wa Tanga Nchi ikiwa haina uchumi mzuri hata Hawakai Tanzania wengi wanazamia nje.
Kipindi cha Neema TZ 2005 mpaka 2015 muziki wa Nchi hii ulitawaliwa na Tanga kina Mwana Fa, Mb dog, Kasim, Matonya, Tng, Bwana Misosi, Wagosi wa Kaya, Dr leader, Mr Ebo mmasai etc
Kuna kipindi unakuta top 10 za music kwenye Radio na magazeti nyimbo 5 mpaka 8 kati ya 10 zinatoka Tanga.
Hicho kiluguru ama ?Jaa kulonga no kuja chobwedaa.