Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Sijui kwanini napapenda sana Arusha,Morogoro mjini nimekaa miaka ya nyuma kidogo,usiku kunakuwa na upepo mkali na mavumbi,sijui kama kumebadilika sasa hivi...
Kama arusha pesa unapata hata iwe ya kawaida kamwe huwezi pachukia.....ni kuzuri, mikoa yote ya kaskazini yaani yote ni kuzuri.
 
Dongo jekundu makazi ya funza.
 
Ni kweli mkuu,wakazi wa Morogoro wamelala sana,ndio maana wanasiasa wanawaonea sana.Wilaya kama ya Mvomero dah,wamelala kweli kweli.
 
Ukioa Mluguru original andaa budget ya mkeo kuhudhuria shughuli kila itakakosikika
 
Miji yote 2 Haina hadhi ya kuwa Majiji,Moro imekalibia ila shida ni Mapato ya ndani walau yafike Bil.10.

Iringa hamna kitu
Aliekwambia mapato ndo jiji nani acha ushmba wew shinyanga ina mapato kiasi gan na kama jiji la tanga lina mapato haya ya leo jiulize wkt linapewa hadhi ya jiji lilikuwa na mapato kiasi gan mbk kupewa hadhi ya jiji
 
Huyo Jamaa i awezekana Mbeya hajaishi!
 
Aliekwambia mapato ndo jiji nani acha ushmba wew shinyanga ina mapato kiasi gan na kama jiji la tanga lina mapato haya ya leo jiulize wkt linapewa hadhi ya jiji lilikuwa na mapato kiasi gan mbk kupewa hadhi ya jiji
Aseme Moro ya ngapi kimapato ya serikali ndotutajua!
Fahari ya Moro ni wingi wa magari yanayopita barabarani!
 
Inategemea unalinganisha na wapi. Kama walinganisha na Dar sawa. Ila kama walinganisha na Nairobi, Kigali, Lusaka, Blantyre n.k. unaweza kuwa na mtazamo tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ