Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Kijiografia&kimkakati Morogoro iko vizuri.
Ila maendeleo yake ni poor
poor...poor.
1.Maji ni shida mjini.
2.Miundombinu ya barabara bado
ni changamoto,mjini&vijijini.
In short,maendeleo ya Moro hayalingani na hadhi yake.
Labda maji na barabara lakini kwenye majengo ya starehe kama vile hotel bar gesti moro ni habari nyingine hata mbeya haifikii
 
Mwenda pia, wale wa mwanamtandeni, kingalu, hgg nk wote nawapa salamu.
wazee wa rubasazi,kolelo,lukange,duthumi,mngazi, bwakira, gomelo kisaki,mtamba, mvuha, magogoni turo wote nawapeni salamu zangu.
Hiyo ni mitaa ya wasukuma..

Kama upo shinyanga vile.

#MaendeleoHayanaChama
 
SGR hiyoo kama lift vile soon
 
Mpaka bona !!
 
Morogoro ndio gateway place nikichoka na mihangaiko ya dar, sometimes naamua tu natoka dar asubuhi nafika asubuhi Moro, nakula na kunywa naweza nikalala au nakrudi usiku kuja dar na nakua nine enjoy sana. It's a blessed city
Hii tabia nilidhani nnayo pekeyangu [emoji23]
Hata Dom natoboa una enjoy sana sio kila mda uko Dar inachosha sana
 
Mkoa unaongoza kwa ukimwi huu
Morogoro ina 6.5 asilimia za Ukimwi, sisemi haupo bali upo. Ni wa 18 au 19 kimikoa. Ukimwi kimikoa, 1. Njombe, 2. Iringa, 3. Mbeya, 4. Songea, 5. Sumbawanga, 6. Kagera, 7. Dsm, 8. Pwani, ............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…