goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Kweli umeeishi hapaNaupenda huu mkoa pia ila una majanga yake fulani,
1. Una ajali za barabarani nyingi
2. Hukumbwa na mafuriko
3. Wananchi wake wamepooza mno, nahisi mwamko wa elimu uko chini
4. Mapigano ya wakulima na wafugaji
5. Uhaba wa maji.