kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,649
Kwa nguvu zote........, miccm unaona donge yenyewe inajaza watu kwa pesa na kwa lazima halafu uwanja mzima umenunaMsafara ubapita watu wanaushangilia kwa nguvu zote......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nguvu zote........, miccm unaona donge yenyewe inajaza watu kwa pesa na kwa lazima halafu uwanja mzima umenunaMsafara ubapita watu wanaushangilia kwa nguvu zote......
Safi sana
Hivyo vichwa ni tabularasaInasikitisha sana ,Polisi hivi hamkumsikiliza polisi mwenzenu alivyosema kwamba ipo siku mtastaafu?
Maandamano ya magari
Kuna kitu flan jpm alikipanda , kinatakiwa kiondoke maana kitaleta ugomvi mkubwa mbeleni
Novemba siyo mbaliKwanini CHADEMA wasijitoe kwenye hayo mazungumzo ya kinafiki. Mwenzako anakushughulikia huku anakuambia kaa Chini tuzungumze.
chadema hii ya kujadili viti vya ikulu[emoji28][emoji28]
Wanakagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo wa Serikali wanayoisimamia
Matokeo ya kiburi na kujiona wao ni kub mpaka Leo. hata hivyo wamemzuiaje Afu wakamuachia alitakiwa awekwe ndani Nina wasi wasi na uraia wake na alete vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wake wote bila kusahau Cha Babu ni bibi yake
Hayakuwepo lakini mlichomfanyia Kikwere Chadema kwa kuwachekea hana hamu na nyinyi!!Ila kipindi cha JK hayo mambo ya vibali haikuepo, huyu mwendazake ndo alianzisha huu ushenzi, katika multiparty democrancy vibali hivyo vilisha tolewa na katiba tayari kwenye kipengere cha "freedom of political expression"
Safi sana
wa wHayakuwepo lakini mlichomfanyia Kikwere Chadema kwa kuwachekea hana hamu na nyinyi!!
Maelfu walikufa mahospitalini law migomo mliyoiratibu Chadema ya madaktari na manesi
Mnyika aliongoza mgomo wa madereva wa malori na mabasi nchi ikasimama
Hakuna usafiri wa basi wala lori
Wananchi wakateseka mno wengine wakifa majumbani kwa kukosa usafiri
CCM ndio ikaona dawa ya moto ni moto ndio ikaleta Magufuli awashikishe adani na mlikoma na mlikiona cha mtema kuni hasa wapumbavu nyinyi
Huyu mama msichezee upole wake wala msimchokonoe .CCM ina watu katili wengi tu mkileta za kuleta 2025 mtaletewa katili kuliko mnayesema Magufuli kuwa alikuwa Katili!!
Shikeni adabu zenu .Msipende kumchokonoa
Kaamua kwenda siasa za kistaarabu moderate msilazimishe abadilike
CCM mkileta moto dawa ya moto ni moto muelezane huko vikao vyenu wajinga ninyi kuwa mnataka siasa za kistaarabu au mnataka za moto?
Sasa Mbowe atafanya nini, wakati Mbowe mwenyewe analambishwa Asali!!Viongozi wa Chadema washtuke. Samiah anawaingiza kingi. Anawazubaisha ikifika 2025 anawatosa. Mbowe ashtuke aache ujinga.
Hawataki, wanajiona wako juu ya sheria.Wafuate sheria
Swali zuri sana.
Nami ningeongezea kama ifuatavyo. Kama kuna sheria inayoruhusu vyama vya siasa kufanya kazi zao, lakini sheria hiyo inavunjwa na taasisi inayotakiwa kuhakikisha sheria zinafuatwa, kwa nini hatua inayofuata isiwe kwa vyama hivi vya siasa kwenda mahakamani kutafuta haki zao?
Ninajuwa jibu litakuwa lile lile, kwamba mahakamani pia hawatatoa haki kwa vyama hivi.
Sasa kama itakuwa hivyo, si ni bora zaidi kuliko kukaa tu kimya na kubaki kulialia tu pembeni?
Matokeo hayo ya kunyimwa haki, si ndiyo yangekuwa ushahidi mkuu katika mahakama kuu zaidi mbele za wenye nchi wenyewe?
Kwa nini fursa hii hawataki kuitumia hawa CHADEMA? Hili bado silielewi.