Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Sasa wewe uchwara unabishana na takwimu?
 
Mikwara ya kijinga sana ! hivi kama huyu kijana mmoja tu amewahenyesha mtaiweza Chadema yote nyinyi wenye visukari ?

 
It sounds true
 
Inasikitisha sana.
 
Hawa watu bhana wao wanafungua miradi na kuitangaza lakini bado wana hofu kama wanafanya vizuri kwa nini wanaendelea kuwa na Hofu wakati Wansnchi wanawaamini...
Wafuate sheria na taratibu zilizowekwa siyo kuja kulialia huku kutafuta huruma ya wananchi
 
Mkuu 'econo', nadhani hukunielewa nilichoandika hapo juu kabla ya kutumia muda wako wote huu kujibu niliyoandika.

Pamoja na kujuwa kwamba mahakama hazitatoa haki, ni sahihi kabisa kupitia njia hiyo, badala ya kutafuta njia za mkato.

Sababu ya kupoteza muda hivyo ni kutafuta ushahidi imara zaidi wa kuwasilisha kwenye mahakama 'KUU' zaidi ya mahakama zote hizi.
Mahakama KUU zaidi ya zote ipo moja tu, na hiyo ndiyo pekee yenye kutoa uamzi wa mwisho usiokataliwa na yeyote kwa njia yoote ile.
 
Walikuwa wanataka kumuambia awaongezee mishahara?Bogus PT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…