Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Analazimisha kupendwa, ukute yeye ndio chanzo cha mume wake kwenda kuoa mwanamke mwingine. Hakuna mwanaume anaeweza Acha mke mwema. Hadi mwanaume kuoa mke mwingine shida ni kasoro ya mke wa kwanza kashindwa kujua wajibu wake ni nini
Kwanini chanzo uanze kukirusha kwa mkewe mbona binadamu mpo hivyo? Marangapi wanaume wanasababisha ndoa zao kuwa zamateso!
 
Sio mchepuko, Prof kaoa kabisa
 
Mkishapelekana huko basi juwa kuna uadui
Sasa hapo ni kukaa mguu sawa tu

Ova
Na mkishajenga uadui ni mwendo wa kukomoana tu. Kesi inaweza kuchukua hadi miaka 5 inapigwa kalenda tu. Kuna dada mmoja Muha , alijifanya mjanja amekuwa kazi yake ni kushinda mahakamani kesi haiishi. Mawakili wamemkimbia maana hana hela ya kuwalipa. Kila leo anaenda kwa waganga kuloga lakini wapi. Mkishazaa haitakiwa kuwa maadau, mnaumiza watoto na kupotezeana muda. Mimi niliona ujinga kuanza kufungua sijui kesi za ugoni na ushahifi nilikuwa nao. Nikaona naweza poteza muda ambao ningeweza kuutumiaa kuzalisha zaidi ya ninachokidai.
 
Kama ulikuwa na chakuanzia sawa, mfano mtu anakutosa katikati ya bahari unafanyaje hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…