Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Analazimisha kupendwa, ukute yeye ndio chanzo cha mume wake kwenda kuoa mwanamke mwingine. Hakuna mwanaume anaeweza Acha mke mwema. Hadi mwanaume kuoa mke mwingine shida ni kasoro ya mke wa kwanza kashindwa kujua wajibu wake ni nini
Kwanini chanzo uanze kukirusha kwa mkewe mbona binadamu mpo hivyo? Marangapi wanaume wanasababisha ndoa zao kuwa zamateso!
 
Inaelekea profesa alitaka sana kuvunja ndoa,ila yawezekana vigezo
Vyake havikutimia na kukubaliwa na kanisa
Inaelekea kulikuwa na process,sasa kwenye ndoa kukishakuwa na tofauti,chuki basi hapo wote wanaishi kwa kuviziana,
Inaelekea mke wa Prof alimuwinda hadi kupata maushahidi+uthibitisho kuwa mme ana mchepuko
Ndiyo kamuwahi,any way hii ni civil case tu,sema kesi ikishafika mahakamani ni kesi

Ova
Sio mchepuko, Prof kaoa kabisa
 
Mkishapelekana huko basi juwa kuna uadui
Sasa hapo ni kukaa mguu sawa tu

Ova
Na mkishajenga uadui ni mwendo wa kukomoana tu. Kesi inaweza kuchukua hadi miaka 5 inapigwa kalenda tu. Kuna dada mmoja Muha , alijifanya mjanja amekuwa kazi yake ni kushinda mahakamani kesi haiishi. Mawakili wamemkimbia maana hana hela ya kuwalipa. Kila leo anaenda kwa waganga kuloga lakini wapi. Mkishazaa haitakiwa kuwa maadau, mnaumiza watoto na kupotezeana muda. Mimi niliona ujinga kuanza kufungua sijui kesi za ugoni na ushahifi nilikuwa nao. Nikaona naweza poteza muda ambao ningeweza kuutumiaa kuzalisha zaidi ya ninachokidai.
 
Kama ulikuwa na chakuanzia sawa, mfano mtu anakutosa katikati ya bahari unafanyaje hapo!
 
Back
Top Bottom