Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kwa sheria ipi? hivi unafikiri Mahakama ingeruhusu kesi ifunguliwe ikiwa hawana kesi hapo? Kasome Sheria ya Ndoa (1971)72Hakuna kesi hapo, huyo mama waliomwambia afungue kesi kisa ugoni wamemuingiza choo cha kike
Oya oya naona mmeingia kazini sasa. Ngumbaru shida mno nchi hiiHakuna kesi hapo kashafeli labda akawange, hatoboi hio kesi kakosea kuiwasilisha
kwa sheria ipi ya ndoa mkuuMwanaume km mwanaume lazima uwe na wanawake wengi, au wewe hua unaenda mwezini?
kwa kosa haina merit kwa uwasilishaji ila kama angeiwasilisha ujuavyo ingekuwa na mashiko?Hakuna kesi hapo kashafeli labda akawange, hatoboi hio kesi kakosea kuiwasilisha
Hio LMA naijua A-Z Matrida amebugi step kesi haifiki mbali hio Prof hana kosa,Kwa sheria ipi? hivi unafikiri Mahakama ingeruhusu kesi ifunguliwe ikiwa hawana kesi hapo? Kasome Sheria ya Ndoa (1971)72
Step ipi kabugi? Au ndo hasira zenu mtakosa matunzo ya Prof? Bank teller na Masters juu unadanga?Hio LMA naijua A-Z Matrida amebugi step kesi haifiki mbali hio Prof hana kosa,
Nakwambiaje hio LMA unayofanya wewe km reference naielewa kuna ile inayosimamia Sheria za kimila naifahamu mwanzo mwisho, ninachokwambia kesi hio kakosea jinsi ya kuiwasilisha kwa hio haifiki mbali, sawaOya oya naona mmeingia kazini sasa. Ngumbaru shida mno nchi hii
hata mimi nimeliona hilo Mkuu kuna uteam humu kuanzia yule wa 4400 lakini hawataki kusema kosa la bank teller kuwa sehemu ya kuharibu na kuvamia ndoa ya Matilda...Step ipi kabugi? Au ndo hasira zenu mtakosa matunzo ya Prof?
Hivi mahakama iache kutumia LMA itumie sheria za kimila?Nakwambiaje hio LMA unayofanya wewe naielewa kuna ile inayosimamia Sheria za kimila naifahamu mwanzo mwisho, ninachokwambia kesi hio kakosea jinsi ya kuiwasilisha kwa hio haifiki mbali, sawa
AjabuuuuuuuHivi mahakama iache kutumia LMA itumie sheria za kimila?
Unahamisha mafaili naona huna hoja kinachofuata ni matusi yasiyo na sababu basi wewe ndio upo sahihi mkuu Ila jua hio kesi haifiki popote, km draft tuStep ipi kabugi? Au ndo hasira zenu mtakosa matunzo ya Prof? Bank teller na Masters juu unadanga?
Narudia, kama Walifumaniwa nyumbani kwa Bank Teller, hapo Bank Teller angewahi kufungua kesi (delay tactic) ya Kuvamiwa nyumbani kwake (Tresspassing, privacy etc.) vs Matilda. Sasa yeye wamemuwahi. Ukiisoma Dissertation yake unaona Muandiko wa Prof. kabisa.hata mimi nimeliona hilo Mkuu kuna uteam humu kuanzia yule wa 4400 lakini hawataki kusema kosa la bank teller kuwa sehemu ya kuharibu na kuvamia ndoa ya Matilda...
Yaan unajichanganya mwenyewe nipe vifungu vinavyoenda kumlazimisha Prof alipe Million 100 onyesha hivyo vifungu unavyovijua wewe, ukiambiwa hakuna kesi ya kueleweka hapo unakaza fuvu utasema 160 sasa 160 unaweza mlazimisha Prof alipe Million 100 kwa kutumia kifungu hicho alafu wakili wake anakuangalia tu?Hivi mahakama iache kutumia LMA itumie sheria za kimila?
Elezea step aliyobugi. Unasusa? Au chawa wa Prof?Unahamisha mafaili naona huna hoja kinachofuata ni matusi yasiyo na sababu basi wewe ndio upo sahihi mkuu Ila jua hio kesi haifiki popote, km draft tu
Amount sio lazima iwe 100m. Sasa hicho kiwango ndio ifanye kesi ife? Membe alidai fidia toka kwa Musiba kiasi gani? alilipwa?Yaan unajichanganya mwenyewe nipe vifungu vinavyoenda kumlazimisha Prof alipe Million 100 onyesha hivyo vifungu unavyovijua wewe, ukiambiwa hakuna kesi ya kueleweka hapo unakaza fuvu utasema 160 sasa 160 unaweza mlazimisha Prof alipe Million 100 kwa kutumia kifungu hicho alafu wakili wake anakuangalia tu?
Sina uchawa wowote Mimi naongelea uzito wa kesi sio uzito wa mtu, rule against bias, evidence of character inaonekana vitu km hivyo hivijui bogus brainElezea step aliyobugi. Unasusa? Au chawa wa Prof?
On a serious note, amount haififishi hii kesi boss. Mpaka sasa Prof. na Afisa wa benki wamekalia kuti kavuSina uchawa wowote Mimi naongelea uzito wa kesi sio uzito wa mtu, rule against bias, evidence of character inaonekana vitu km hivyo hivijui bogus brain
Onyesha kifungu chako kitakacho mlazimisha Prof alipe Fidia kinatoka kwenye Sheria ipi wewe uliedisco law school unatumia kifungu kipi?Amount sio lazima iwe 100m. Sasa hicho kiwango ndio ifanye kesi ife? Membe alidai fidia toka kwa Musiba kiasi gani? alilipwa?
72Onyesha kifungu chako kitakacho mlazimisha Prof alipe Fidia kinatoka kwenye Sheria ipi wewe uliedisco law school unatumia kifungu kipi?
Hujielewi kumbe unabwabwaja tu, huna hojaOn a serious note, amount haififishi hii kesi boss. Mpaka sasa Prof. na Afisa wa benki wamekalia kuti kavu
Haya mwenye hoja tukutane mahakamani na Afisa mwenzio wa benkiHujielewi kumbe unabwabwaja tu, huna hoja