Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Mwanaume km mwanaume lazima uwe na wanawake wengi, au wewe hua unaenda mwezini?
kwa sheria ipi ya ndoa mkuu
Hakuna kesi hapo kashafeli labda akawange, hatoboi hio kesi kakosea kuiwasilisha
kwa kosa haina merit kwa uwasilishaji ila kama angeiwasilisha ujuavyo ingekuwa na mashiko?
 
Oya oya naona mmeingia kazini sasa. Ngumbaru shida mno nchi hii
Nakwambiaje hio LMA unayofanya wewe km reference naielewa kuna ile inayosimamia Sheria za kimila naifahamu mwanzo mwisho, ninachokwambia kesi hio kakosea jinsi ya kuiwasilisha kwa hio haifiki mbali, sawa
 
Step ipi kabugi? Au ndo hasira zenu mtakosa matunzo ya Prof? Bank teller na Masters juu unadanga?
Unahamisha mafaili naona huna hoja kinachofuata ni matusi yasiyo na sababu basi wewe ndio upo sahihi mkuu Ila jua hio kesi haifiki popote, km draft tu
 
hata mimi nimeliona hilo Mkuu kuna uteam humu kuanzia yule wa 4400 lakini hawataki kusema kosa la bank teller kuwa sehemu ya kuharibu na kuvamia ndoa ya Matilda...
Narudia, kama Walifumaniwa nyumbani kwa Bank Teller, hapo Bank Teller angewahi kufungua kesi (delay tactic) ya Kuvamiwa nyumbani kwake (Tresspassing, privacy etc.) vs Matilda. Sasa yeye wamemuwahi. Ukiisoma Dissertation yake unaona Muandiko wa Prof. kabisa.
 
Hivi mahakama iache kutumia LMA itumie sheria za kimila?
Yaan unajichanganya mwenyewe nipe vifungu vinavyoenda kumlazimisha Prof alipe Million 100 onyesha hivyo vifungu unavyovijua wewe, ukiambiwa hakuna kesi ya kueleweka hapo unakaza fuvu utasema 160 sasa 160 unaweza mlazimisha Prof alipe Million 100 kwa kutumia kifungu hicho alafu wakili wake anakuangalia tu?
 
Amount sio lazima iwe 100m. Sasa hicho kiwango ndio ifanye kesi ife? Membe alidai fidia toka kwa Musiba kiasi gani? alilipwa?
 
Amount sio lazima iwe 100m. Sasa hicho kiwango ndio ifanye kesi ife? Membe alidai fidia toka kwa Musiba kiasi gani? alilipwa?
Onyesha kifungu chako kitakacho mlazimisha Prof alipe Fidia kinatoka kwenye Sheria ipi wewe uliedisco law school unatumia kifungu kipi?
 
Back
Top Bottom