Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Sina uchawa wowote Mimi naongelea uzito wa kesi sio uzito wa mtu, rule against bias, evidence of character inaonekana vitu km hivyo hivijui bogus brain
matusi tena mkuuu hahahahaha uspanic toa hoja kikubwa ni kwamba Prof kaiabisha SUA... Bank Teller kiabisha CRDB ...
 
mumefika huko tena hahahah punguza jazba mkuu elimisha hadhira unasikilizwa na watu wengi ambao wanataka kujifunza sasa ukianza kumuaattach mdau utaposha dhana ya uzi husika
Mkuu huyu hana hoja, kahamia kwenye matusi. Ila Prof. alizoea vya kunyonga sasa kakutana na wanaojua sheria. Matilda hongera sana
 
Kwa vipi serikali iingilie mambo ya ndoa. Nadhani hizi zinapaswa kumalizia kanisani.
Kanisani kwenyewe wakishindwa wanaitupia mahakama ,kuna stages unaweza fikisha madai hayo level ya kuzungumzika kanisani punde pande mbili zipo tayari kupata suluhu ,ila kama kuna vuta ni kuvute ni nyundo tu ya mahakama inaweka sawa
 
matusi tena mkuuu hahahahaha uspanic toa hoja kikubwa ni kwamba Prof kaiabisha SUA... Bank Teller kiabisha CRDB ...
Mimi sizungumzii mtu mimi nazungumzia mazingira ya kesi, na pale mahakamani hawaangalii mtu anafanya kazi gani au anatoka wapi ili watoe haki unaweza ukatenda haki pasipo haki especially kwa wanawake ni moja ya waigizaji wakubwa wanajua kuigiza kwenye uongo wanaweka uongo, ndio maana nikasema naangalia muonekano wa kesi yenyewe na maelezo ya scenario ya kesi kiujumla yapoje, wewe unamjaji mtu eti kisa bank teller kisa ni Prof basi hana haki ya kusikilizwa amezalilisha taasisi no haipo hivyo kesi haziendeshwi hivyo,
 
na ndiyo maana nimesema hii case Matilda anapashwa kupewa hongera kuna hawa vijana wa kike wamewafanya mama zetu wateseke na ndoa zao walizozimwagilia toka ujana wanashanga inakuja kuparanganyika baada ya kudumu kwa takribani miaka 30....Bank kweli amekosea kwenda kuharibu ndoa ya Mama ambaye ni sawa na Mzazi mwenza ndiyo Maana Jack Mengi hawezi shinda case yake aslani
 
Mimi sizungumzii mtu mimi nazungumzia mazingira ya kesi, na pale mahakamani hawaangalii mtu anafanya kazi gani au anatoka wapi ili watoe haki unaweza ukatenda haki pasipo haki especially kwa wanawake ni moja ya waigizaji wakubwa wanajua kuigiza kwenye uongo wanaweka uongo, ndio maana nikasema naangalia muonekano wa kesi yenyewe na maelezo ya scenario ya kesi kiujumla yapoje, wewe unamjaji mtu eti kisa bank teller kisa ni Prof basi hana haki ya kusikilizwa amezalilisha taasisi no haipo hivyo kesi haziendeshwi hivyo,
Mahakama inafanya maamuzi kwa ushahidi uliwasilishwa kwa pande zote mbili kwa kufuata sheria husika. Ambao ushahidi wa hii kesi upo uchi (naked).
 
Yes ushahidi upo naked how na utaimaliza kesi hii kwa ushindi ukitumia kifungu kipi cha LMA 72? 😆
The Law of Marriage Act 1971 (72)
72. Right to damages for adultery
(1) A husband or wife may baring a suit for damages against any person with
whom his or her spouse has committed adultery:
Provided that no such proceeding shall lie–
(a) where the aggrieved party has consented to or connived at the adultery;
(b) where damages in respect of the alleged adultery have been claimed in a
petition for divorce.
(2) A suit brought under this section shall be dismissed if the defendant satisfied
the court that he or she did not know and could not, by the exercise of reasonable
diligence, have known that the person with whom he or she committed the act of
adultery was married.
 
Hivi kuna mahakama inalazimisha uishi na mtu usiokua na imani naye,hapo maltida kibao kinaweza kikamjeukia kuwa aliachwa kwa kuwa ni mwanamke anaemkosesha amani prof so amlipe prof fidia kwa muda uliopoteazwa
 
The Law of Marriage Act 1971 (72)
72. Right to damages for adultery
(1) A husband or wife may baring a suit for damages against any person with
whom his or her spouse has committed adultery:
Provided that no such proceeding shall lie–
(a) where the aggrieved party has consented to or connived at the adultery;
(b) where damages in respect of the alleged adultery have been claimed in a
petition for divorce.
(2) A suit brought under this section shall be dismissed if the defendant satisfied
the court that he or she did not know and could not, by the exercise of reasonable
diligence, have known that the person with whom he or she committed the act of
adultery was married.
Kwa hio hapo unatumia kipi 72 1(a), 1(b), 72 (2) au vyote kwa pamoja? 😆
 
The Law of Marriage Act 1971 (72)
72. Right to damages for adultery
(1) A husband or wife may baring a suit for damages against any person with
whom his or her spouse has committed adultery:
Provided that no such proceeding shall lie–
(a) where the aggrieved party has consented to or connived at the adultery;
(b) where damages in respect of the alleged adultery have been claimed in a
petition for divorce.
(2) A suit brought under this section shall be dismissed if the defendant satisfied
the court that he or she did not know and could not, by the exercise of reasonable
diligence, have known that the person with whom he or she committed the act of
adultery was married.
kwa hiyo The Law of Marriage Act 1971 (72) (2) bank teller ataponea humo au hahahahahahahahahahahahahahah
 
Hivi kuna mahakama inalazimisha uishi na mtu usiokua na imani naye,hapo malyida kibao kinaweza kikamjeukia kuwa aliachwa kwa kuwa ni mwanamke anaemkosesha amani prof so amlipe prof fidia kwa muda uliopoteazwa
1. Kuacha (divorce) kisheria INARUHUSIWA ila zipo taratibu na lazima uwe na sababu (nazijua 3) katika hizo KUKOSESHWA AMANI haipo.
2. Kabla hujafunga ndoa jipime kama upo tayari na consequences za ndoa/divorce usioe kwa kufuata mkumbo/wazazi/marafiki.
 
Back
Top Bottom