Yote yanawezekana,Hivi kuna mahakama inalazimisha uishi na mtu usiokua na imani naye,hapo malyida kibao kinaweza kikamjeukia kuwa aliachwa kwa kuwa ni mwanamke anaemkosesha amani prof so amlipe prof fidia kwa muda uliopoteazwa
Maelezo hamna mneganda 72(2) mwenzio namwambia achague kifungu analeta mafungu ndio maana nakwambia hakuna kesi hapo hio ni kesi mfu inaenda kutupwa pembeni mapemaaa, why? Fuatilia scenario ya kesi vizuri utaelewa km kweli unajua kusoma between lines,kwa hiyo The Law of Marriage Act 1971 (72) (2) bank teller ataponea humo au hahahahahahahahahahahahahahah
Kwa akili za Dada zetu utakuta Bank teller walishajizibizana kwa sms na Matilda, so ushahidi upo kuwa alikua anajua kuwa Prof. kaoakwa hiyo The Law of Marriage Act 1971 (72) (2) bank teller ataponea humo au hahahahahahahahahahahahahahah
😆 Unatengeneza mtazamo wako binafsi, hio haipo sahauKwa akili za Dada zetu utakuta Bank teller walishajizibizana kwa sms na Matilda, so ushahidi upo kuwa alikua anajua kuwa Prof. kaoa
Inategemea na shtaka linadai nini kama ana maelezo mengine zaidi na akaonyesha ameathirika kwa kiasi gani kesi ina mashikoMaelezo hamna mneganda 72(2) mwenzio namwambia achague kifungu analeta mafungu ndio maana nakwambia hakuna kesi hapo hio ni kesi mfu inaenda kutupwa pembeni mapemaaa, why? Fuatilia scenario ya kesi vizuri utaelewa km kweli unajua kusoma between lines,
Nakwambia kiongozi soma scenario hio hapo juu, alafu ielewe vizuri then angalia hicho kifungu cha 72(2) kitamlazimisha Prof alipe Million 100?Inategemea na shtaka linadai nini kama ana maelezo mengine zaidi na akaonyesha ameathirika kwa kiasi gani kesi ina mashiko
Mkuu sio kwamba nakataa hizo possibilities za kesi kukwama (kwa 72.2) la muhimu watu wameelewa sasa kuwa adultery ni kosa kisheria. Kabla hujachnua miguu kwa mwanaume/mwanamke mwenye ndoa mdai Divorce papers.Maelezo hamna mneganda 72(2) mwenzio namwambia achague kifungu analeta mafungu ndio maana nakwambia hakuna kesi hapo hio ni kesi mfu inaenda kutupwa pembeni mapemaaa, why? Fuatilia scenario ya kesi vizuri utaelewa km kweli unajua kusoma between lines,
Justifications zipo mahakama inaweza tengua ndoa iliyofungwa kama kuna viashiria vya ukosefu wa amani na tishio na kuwapa uhuru wanandoa hao kuoa tenaKwa akili za Dada zetu utakuta Bank teller walishajizibizana kwa sms na Matilda, so ushahidi upo kuwa alikua anajua kuwa Prof. kaoa
Ndio nakwambia kwamba kwa kutumia hicho kifungu kimlazimishe Prof alipe million 100 kwa hoja kwa sababu ya nini kwa mfano ugoni ulipe million 100 na mahari ulilipa million ngapi?Mkuu sio kwamba nakataa hizo possibilities za kesi kukwama (kwa 72.2) la muhimu watu wameelewa sasa kuwa dultery ni kosa kisheria.
Mazingira ya Mahali hayawezi kuwa na Mazingira ya Ugoni........ Hapo utaleta mjadala mwingine...Ndio nakwambia kwamba kwa kutumia hicho kifungu kimlazimishe Prof alipe million 100 kwa hoja kwa sababu ya nini kwa mfano ugoni ulipe million 100 na mahari ulilipa million ngapi?
Justifications;Justifications zipo mahakama inaweza tengua ndoa iliyofungwa kama kuna viashiria vya ukosefu wa amani na tishio na kuwapa uhuru wanandoa hao kuoa tena
Lazima ana Kadi ya CCMMahaba haya....profesa Mzinzi
Mlalamikiwa akaja na zake kuwa mwanamke alikua anamtishia uhai kipindi anaishi nae there is strong allegationsJustifications;
1. CRUELTY (uonyeshe ushahidi usiotia shaka)
2. ADULTERY (Prof & Afisa wa Benki)
3. DESERTION (kukosekana matunzo eg. ada, kodi etc.)
Elezea hio 72(2) inaenda kum command vipi Prof amwage Million 100 kwa bibi Matrida before the court?Mkuu sio kwamba nakataa hizo possibilities za kesi kukwama (kwa 72.2) la muhimu watu wameelewa sasa kuwa adultery ni kosa kisheria. Kabla hujachnua miguu kwa mwanaume/mwanamke mwenye ndoa mdai Divorce papers.
100m hiyo imenogesha kesi tu. Hata hiyo kuweka Prof. wa SUA lengo ilikua ni ku-draw attention kupata mileage/viewers/likes kwenye mediaElezea hio 72(2) inaenda kum command Prof amwage Million 100 kwa bibi Matrida before the court?
Yaan unajua kwanini nimeuliza hilo swali? Au hujafikiria kabla ya kutoa maelezoMazingira ya Mahali hayawezi kuwa na Mazingira ya Ugoni........ Hapo utaleta mjadala mwingine...
Brother ngoja ni share kidogo kuna jamaa alimkimbia mke wake huko mikoani akaenda Dar baada ya kufika huko na kukaa miaka mitatu akakutana na binti mmoja katika haya makanisa yetu ya kilokole basi yule baba akafunga ndoa kabisa na huyo binti wakadumu kwenye ndoa kwa miaka mitatu..Justifications;
1. CRUELTY (uonyeshe ushahidi usiotia shaka)
2. ADULTERY (Prof & Afisa wa Benki)
3. DESERTION (kukosekana matunzo eg. ada, kodi etc.)