Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

kwa hiyo The Law of Marriage Act 1971 (72) (2) bank teller ataponea humo au hahahahahahahahahahahahahahah
Maelezo hamna mneganda 72(2) mwenzio namwambia achague kifungu analeta mafungu ndio maana nakwambia hakuna kesi hapo hio ni kesi mfu inaenda kutupwa pembeni mapemaaa, why? Fuatilia scenario ya kesi vizuri utaelewa km kweli unajua kusoma between lines,
 
Inategemea na shtaka linadai nini kama ana maelezo mengine zaidi na akaonyesha ameathirika kwa kiasi gani kesi ina mashiko
 
Inategemea na shtaka linadai nini kama ana maelezo mengine zaidi na akaonyesha ameathirika kwa kiasi gani kesi ina mashiko
Nakwambia kiongozi soma scenario hio hapo juu, alafu ielewe vizuri then angalia hicho kifungu cha 72(2) kitamlazimisha Prof alipe Million 100?
 
Maelezo hamna mneganda 72(2) mwenzio namwambia achague kifungu analeta mafungu ndio maana nakwambia hakuna kesi hapo hio ni kesi mfu inaenda kutupwa pembeni mapemaaa, why? Fuatilia scenario ya kesi vizuri utaelewa km kweli unajua kusoma between lines,
Mkuu sio kwamba nakataa hizo possibilities za kesi kukwama (kwa 72.2) la muhimu watu wameelewa sasa kuwa adultery ni kosa kisheria. Kabla hujachnua miguu kwa mwanaume/mwanamke mwenye ndoa mdai Divorce papers.
 
Kwa akili za Dada zetu utakuta Bank teller walishajizibizana kwa sms na Matilda, so ushahidi upo kuwa alikua anajua kuwa Prof. kaoa
Justifications zipo mahakama inaweza tengua ndoa iliyofungwa kama kuna viashiria vya ukosefu wa amani na tishio na kuwapa uhuru wanandoa hao kuoa tena
 
Mkuu sio kwamba nakataa hizo possibilities za kesi kukwama (kwa 72.2) la muhimu watu wameelewa sasa kuwa dultery ni kosa kisheria.
Ndio nakwambia kwamba kwa kutumia hicho kifungu kimlazimishe Prof alipe million 100 kwa hoja kwa sababu ya nini kwa mfano ugoni ulipe million 100 na mahari ulilipa million ngapi?
 
Justifications zipo mahakama inaweza tengua ndoa iliyofungwa kama kuna viashiria vya ukosefu wa amani na tishio na kuwapa uhuru wanandoa hao kuoa tena
Justifications;
1. CRUELTY (uonyeshe ushahidi usiotia shaka eg. makovu etc.)
2. ADULTERY (Prof & Afisa wa Benki)
3. DESERTION (kukosekana matunzo eg. ada, kodi etc.) mathalani Suu na Faiza wangekuwa wameoana basi zile allegations za Faiza kuwa hatunzi mtoto, Sugu angezijibu kwa kuwasilisha Stakabadhi za Karo shuleni au Benki).
 
Justifications;
1. CRUELTY (uonyeshe ushahidi usiotia shaka)
2. ADULTERY (Prof & Afisa wa Benki)
3. DESERTION (kukosekana matunzo eg. ada, kodi etc.)
Brother ngoja ni share kidogo kuna jamaa alimkimbia mke wake huko mikoani akaenda Dar baada ya kufika huko na kukaa miaka mitatu akakutana na binti mmoja katika haya makanisa yetu ya kilokole basi yule baba akafunga ndoa kabisa na huyo binti wakadumu kwenye ndoa kwa miaka mitatu..

Baada ya miaka hiyo Yule mwanamke wa ndoa ya awali akasikia mshikaji alishaoa na anaishi na mke mwingine Dar dada wa watu akafunga safari hadi Dar kweli akathibitisha kuwa mshikaji alishaoa miaka mitatu iliyopita.
Yule mama alienda mahakamani kufile rehabilition ya ndoa yake na kuwa anataka ndoa yake walipelekeshana mahakamani mwisho wa siku yule aliyevamia ndoa aliambia ndoa ya pili ni batili kwa hiyo mke wa wali anahaki na ndoa yake na ndoa ya pili ilitenguliwa..

Kumbuka huyu hakudai fidia ya fumanizi yeye alitaka ndoa yake tu na huyo binti haki haikumuungali.

Kwa hiyo Angalizo kwa nyie mabinti mnaotaka kula chakula kilichokwisha pikwa hii casde itawaharabia maisha yenu na soon tutaona ongezeko la vichaa mirembe
 
Back
Top Bottom