Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Na watoto wa kimarangu walivyo soft kama midoli 🤣🤣🤣Prof kaona matiti yameshalala ngoja niwahi kwa bank teller chuchu-konzi, kitu mnato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na watoto wa kimarangu walivyo soft kama midoli 🤣🤣🤣Prof kaona matiti yameshalala ngoja niwahi kwa bank teller chuchu-konzi, kitu mnato
Yaani unaomba kuvunja ndoa kwa papa ambaye hata hakujui, huu utaratibu inabidi waubadilishe.Kuna mtu barua yake ya kuomba kuvunja ndoa aliiandika 1992 akaja kujibiwa 2004 kuwa amekubaliwa
Hakuna kitu kama hicho wanaume Baba mmoja unaenda kwa mwingine nako wanakuswaga hivyo hivyo ndugu si utafia njiapanda, mtu kakuoa mbishi unaita umefikisha 40---- akwambie sikutaki nikung"ute tu mavumbi kama mtume Paul weee mie sio Mama yake buana kwanini kutesana hivyo? Labda kama ulikuta anavyo lakini tumeanzia 0 no.Mimi hata kama sikua na cha kuanzia ningeachana navyo maana saa nyingine unaweza hata kuuawa. Na mahakama zetu hizi mhh
Mwanaume hafumaniwiMaajabu ya dunia Mwanaume naye anashikwa ugoni.
By the way kesi ya ugoni faini so 50K
Itakuwa hakifahamu hicho cheti, hata hao wachungaji hawafungishi kiholela mpaka aruhusiwe na serikali.Kanisani hakuna vyeti viwili; kiko kimoja tu nacho ni cha Serikali; cha pili Mungu shahidi.
Mimi nimejisemea maana najua kupambana na kupata vyangu binafsi. Kama wewe unaona uaweza kupambana, well and good na una haki kabisa ya kufanya hivyo.Hakuna kitu kama hicho wanaume Baba mmoja unaenda kwa mwingine nako wanakuswaga hivyo hivyo ndugu si utafia njiapanda, mtu kakuoa mbishi unaita umefikisha 40---- akwambie sikutaki nikung"ute tu mavumbi kama mtume Paul weee mie sio Mama yake buana kwanini kutesana hivyo? Labda kama ulikuta anavyo lakini tumeanzia 0 no.
Siku akishituka na huyu mdai fidia atakuwa tayari anakabebi kake [emoji3][emoji3]Kinyume chake; prof kaingia cha kike kwa jimama la kichaga.
Kama mke si kashakuua na stressKuna mtu barua yake ya kuomba kuvunja ndoa aliiandika 1992 akaja kujibiwa 2004 kuwa amekubaliwa
Duu kwahiyo sie magunia ya viazi tukae kimya [emoji23][emoji23]Na watoto wa kimarangu walivyo soft kama midoli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaeni kwa kutulia niko pamoja na profesa NyukiDuu kwahiyo sie magunia ya viazi tukae kimya [emoji23][emoji23]
Tena midoli ya kichina! Ukute mmarangu kachanganya mbegu; mama mmbulu! Noma sana!Na watoto wa kimarangu walivyo soft kama midoli 🤣🤣🤣
Hivi Process za kuvunja ndoa zikoje? Na si inavunjwa Mahakamani? Na si ni lazima Wanandoa wote wakubali au hata Mwanandoa mmoja anaweza kuivunja?Yes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Kataitiwa na MatridaKaeni kwa kutulia niko pamoja na profesa Nyuki
Wewe hujafuatilia huyo Mama anacholilia 100M sio ugoni anacholilia ni ndoa ya pili kwamba Prof amefunga ndoa ya pili amlipe 100M, rudia tena kusoma acha kukaza fuvu hilo la ugoni limemuongezea uzito tu Ila anacholilia ni kwamba Prof kafunga ndoa ya pili amlipe 100M, elewa ndio ukosoe, yaan unataka kusema amemfuma ugoni ndio amlipe 100M? Jichunguze-hujui Sheria ya ndoa, Ugoni adhabu yake ni Fidia, haina haja ya kufika huko, labda tabia ya Ugoni iwe ni repetitive despite protest
Tunaeleweshana tu best yangu watu wanapooana wanawaza mbele si kuachana, hivyo mnakuwa mnatafuta pamoja ,kuachana ni ajali tu kama ajali nyingineMimi nimejisemea maana najua kupambana na kupata vyangu binafsi. Kama wewe unaona uaweza kupambana, well and good na una haki kabisa ya kufanya hivyo.
Braza acha tu, sie tulioishi nao ndio tunajua utamu waoTena midoli ya kichina! Ukute mmarangu kachanganya mbegu; mama mmbulu! Noma sana!
Ndoa zinavunjwa mahakamani tu, Sijui sheria zetu zinasemaje hasa kwenye sababu ya kuvunja ndoa; maana nchi nyingine lazima kuwe na sababu, wengine lazima mtengane kwa muda fulani. Ila hakuna namna unaweza kulazimisha ndoa, kama mmoja hataki mwishowe.Hivi Process za kuvunja ndoa zikoje? Na si inavunjwa Mahakamani? Na si ni lazima Wanandoa wote wakubali au hata Mwanandoa mmoja anaweza kuivunja?
Siku hizi inabidi kuwa makini maana ndoa zenyewe zimekuwa kama vifurushi vya simu, vinaisha muda wowote bila taarifa.Tunaeleweshana tu best yangu watu wanapooana wanawaza mbele si kuachana, hivyo mnakuwa mnatafuta pamoja ,kuachana ni ajali tu kama ajali nyingine
Professor Mgeni wa SUA aliuwawa kwa kula Watoto wa shule na wake Za watu. SUA ni chuo cha wapemba Chu…pProfesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shitaka la madai ya Ugoni dhidi ya malalamikaji Matrida Sigaret.
Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.
Aidha, wakili Chengulo amesema katika shitaka hilo Matrida Sigaleti anawashitaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.
"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washitakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Kwa upande wa washitakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipatakiwa kuzungumzia shitaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.
"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.