Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Matirda bwege tu
Kataitiwa na Matrida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kataitiwa na Matrida
Tulia Matrida apate 100m za boya.Matirda bwege tu
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washitakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shitaka la madai ya Ugoni dhidi ya malalamikaji Matrida Sigaret.
Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.
Aidha, wakili Chengulo amesema katika shitaka hilo Matrida Sigaleti anawashitaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.
"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washitakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Kwa upande wa washitakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipatakiwa kuzungumzia shitaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.
"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.
Hizo ml 100 prof anazo?Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washitakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Hii kesi haihitaji wakili.
Professor alipe 100 m biashara imekwisha
Kama alijua Hana angeacha uzinziHizo ml 100 prof anazo?
Thanks,Wakili anatakaje kesi isikilizwe faragha anaficha nini wakati tutasoma kila kitu kwenye hukumu pindi itakapotoka?[emoji16][emoji16]
Kama hataki waandishi si angeyamaliza kwa amani tu nyumbani mara baada ya kupokea madai.
Sasa kufunga ndoa kunawezaje kukaitwa UGONI?? Maana ugoni ni ile hali ya mtu aliyeoa au kuolewa kufumaniwa na mwenza wake, akiwa anafanya ngono na mtu mwingine. Kufunga ndoa tayari imekuwa ni ugoni?? Anyways, labda ana ushahidi kuwa hawa watu wamebanjuana, na vipi wakijitetea kuwa walikuwa wanajichunga wakisubiri mpaka NDOA na hata baada ya ndoa hawajabanjua kwa sababu labda mmoja alikuwa mgonjwa nk?
Unaweza kabisa, na kuna mwamba ameweka kesi humu kuonesha mahakama ilivyoamua alipwe fidia, ila sasa lazima uthibitishe kuwa hao unaowadai fidia wamezagamuana. Kama kwenye kesi iliyowekwa, jamaa amempa mimba kabisa yule demu, anarukaje fidia!! Tofauti na mwamba Profesa hapa, haijawekwa wazi kama kuna mizagamuano zaidi ya kusema kuwa kuna ndoa ilifungwa.
Ugoni uthibitisho wake sio ndoa, bali tendo la ndoa. Kama ishu ilikuwa ni ndoa ya mke mmoja, mke alitakiwa kupinga ndoa ya pili, sio kudai fidia ya ugoni bila kuthibitisha ugoni wenyewe. (Najua ni mapema sana, maana kesi haijaanza kusikilizwa, labda atathibitisha huo ugoni)
Mfano baraza la usuluhishi wa ndoa kushindwa kutatua mgogoro uliyokoHivi Process za kuvunja ndoa zikoje? Na si inavunjwa Mahakamani? Na si ni lazima Wanandoa wote wakubali au hata Mwanandoa mmoja anaweza kuivunja?
Hizi kesi za ugoni ataishia kupata fidia kiduchu. Angekomaa na divorce na mgawanyo wa mali tuKama alijua Hana angeacha uzinzi
Wapi amezini? Unaweza kuweka ushahidi wa uzinzi wake?Kama alijua Hana angeacha uzinzi
Ha ha ha haya sawa ngoja tutulie na sura za babu zetu.Kaeni kwa kutulia niko pamoja na profesa Nyuki
Mahakama inatambua ndoa ya MatridaThanks,
Na je Mlalamikaji akipata ushahidi kuwa Mumewe amefunga ndoa na Mwanamke mwingine, hiyo haitoshi kumpa ushindi wa kupata fidia anazotaka?
Sababu mbona zinajulikana kama hiyo uzinzi,kufanyiana ukatili,hata kama mmoja wenu Ana matatizo ya akiliNdoa zinavunjwa mahakamani tu, Sijui sheria zetu zinasemaje hasa kwenye sababu ya kuvunja ndoa; maana nchi nyingine lazima kuwe na sababu, wengine lazima mtengane kwa muda fulani. Ila hakuna namna unaweza kulazimisha ndoa, kama mmoja hataki mwishowe.
Ana projects za maana 100m kitu kidogo.Hizo ml 100 prof anazo?
Baada ya ugoni ataomba talaka then mgawoHizi kesi za ugoni ataishia kupata fidia kiduchu. Angekomaa na divorce na mgawanyo wa mali tu
Na je kama aidha wanandoa wote au mmoja hayupo tayari kwa masuluhishi?Mfano baraza la usuluhishi wa ndoa kushindwa kutatua mgogoro uliyoko
Kwenye ndoa
Hapo ndipo mtaambiwa muende mahakamani sasa!
Ova
Je kama yeye alimwambia atulie nyumbani hapo imekaaje! Mwanzo hakuwaona wasomi wenzie degree ya kwanza mpaka uprof hakuwaona wasomi? Sema tamaa tu hiyo ukute Matilda yupo vizuri tu yeye ndiye kamfuja. MUTU kapata mbunye mpya yazamani inaleta kesi mama tilia wewe ni mama wa nyumbani mwenzako mama wa bank huoni TOFAUTI?
Hiyo ya ugoni mpaka uthibitishe ni ngumu kweli. Bora angeomba talaka then mgaoBaada ya ugoni ataomba talaka then mgawo