Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanaume wa kitanzania walivyo wazinziWanaume mkae kwa kutulia, hii mbinu mpya ya kulipwa fidia hii ni zaidi ya ile ya kusubiri pensheni[emoji1787]
This is a man's world.Sheria inasema hivyo Ila sijawahi kuona kesi ya mwanaume anaedai fidia kisa kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, km umeiona naomba unijulishe
Mwanamke akifumaniwa anapelekwa mahakamani kudaiwa fidia? Jibu ndio au hapana?This is a man's world.
Mwanamme akifumaniwa na mkewe Hilo linazungumzika.
Mwanamke akifumaniwa na mumewe Ni habari nyingine....
Ulipo tupoAnazo hizo 0.1bn? Inawezekana amezimaliza kwenye matayarisho ya harusi na bibi mpya
We unafikiri mtu kuwa profesa ndo kuwa na hela?Mbona kadai pesa kiduchu hivyo? Hili ni swala kuharibiwa hadhi na maisha yake.... Alitakiwa aanzie 0.5bn au hata 1bn .
Ningekuwa mimi ni huyo Kissanga hiyo 0.1bn ningempa bila hata ya kwenda mahakamani.
Au anafikiri pesa ni mavuzi unanyoa yanaotaUnadhani pesa ni sawa na pumbu huyo profesa 1B atatoa wapi?
Hata wakiuza mali za ukoo wote bado 1B haipatikani.
Mpaka apate huo mgawo wake ndiyo wataenda kutumia vizuri na kibenten wakeMahusiano yakidonti yamedonti kubali tuu matokeo. Mama atafute kabenten akabemende. Thchaooo
Watanyooka tu ili nao wakaanze upya na mzinzi mwenzieNa wanaume wa kitanzania walivyo wazinzi
Mwendo wa kudai fidia tu mpaka wanyooke
Umesikia mambo ya Unguja?Na wanaume wa kitanzania walivyo wazinzi
Mwendo wa kudai fidia tu mpaka wanyooke
Unguja hawajaanza Leo toka enziUmesikia mambo ya Unguja?
Tena ukiwa na kaushahidi kazuri waweza mmfilisi mtoto wa mama mkwe awe mwananmke au mwanamumeHivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa?
Prof anajutaTena ukiwa na kaushahidi kazuri waweza mmfilisi mtoto wa mama mkwe awe mwananmke au mwanamume
Ipo hivi ni bora uugulie maumivu ya kuachwa tu lakini sio maumivu hadi ya mlichokichumaHaya wakigawana 3 each, mapenzi yatarudi? Non sense.... na nakuhakikishia huyo Matrida ataachwa Solemba!!
Mwenye nakala ya hukumu ya kesi hii,angenipatia,ningemshukuru sanaProfesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret.
Akizungumza nje ya Mahakama hiyo jana, wakili wa mlalamikaji Emmanuel Chengulo alisema kesi hiyo ilifunguliwa Desemba 16, 2022 na ilitajwa kwa mara ya kwanza Januari 23, 2023 mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Lukumai.
Aidha, wakili Chengulo amesema katika shtaka hilo Matrida Sigaleti anawashtaki Profesa Kasanga ambaye ni mume wake wa ndoa na Linael kwa kesi ya Ugoni dhidi yao.
"Kimsingi mteja wangu anadai kulipwa fidia ya shilingi milioni 100 kutokana na madhara ambayo ameyapata," alisema.
Wakili huyo alisema kuwa Oktoba 29, 2022 inadaiwa washtakiwa hao walifunga ndoa huku kukiwa bado kuna ndoa nyingine ya mlalamikaji ambaye ni Matrida na Profesa Kasanga.
Kwa upande wa washtakiwa ambaye ni Profesa Kasanga na Linael Makundi wanatetewa wa wakili Asifiwe Alinanuswe ambaye alipotakiwa kuzungumzia shtaka hilo alisema hajapewa maelekezo ya kuzungumzia kesi hiyo kutoka kwa mteja wake.
"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hakimu Mfawidhi Lukumai ameahirisha kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kuweka pingamizi la kutaka kesi hiyo isikilizwe faragha na imepangwa kuanza kusikilizwa kwa pingamizi hilo Februari 21, 2023.