Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

maneno mengi,vitendo hakuna.jiwe aendelee kutawala tu kwa hali hii.
 
Huyo mtoto si wampeleke tu Chuo Kikuu.
Kumpima ili iweje! Ndo wanaua kipaji chake sasa! Yuko wapi yule wa Kenya aliekuwa anafundisha hadi wanachuo akiwa na umri mdogo tu?
Utashangaa anapelekwa ata la pili tu wakati bado dogo ni kichwa ata la nne asome 6 month apige la tano.[emoji124][emoji124]
Mnaboresha madarasa kama zawadi kwakuwa amepatikana mtoto mwenye kipaji hapo? Shule zisizo na watoto wenye kipaji waendelee ku suffer
Je, mna mpango gani wa kuibua vipaji vingine zaidi ya hicho katika maeneo mengine?
Nifafanulieni basi wanampima nini? Uzito, urefu au? Huyo ni wa kupelekwa shule bora tu
Navyoijua hii serikali ya CCM soon watamvuruga huyu dogo.
Huyo mtoto hana kipaji chochote, kama mna nia ya kumsaidia mpelekeni kwa watu wa maombi wa kweli wamtowe hayo majini kichwani, wanaojibu hizo hesabu si yeye ni hato madudu yaliyomkaa kichwani.

Huyo mkipeleka shule atakuwa ndio anaburuza mkia darasani, Wabongo wengi mna mihemko hamjatambea na hamjaona mengi.

Save hii post for future reference.
 
Huyo mtoto hana kipaji chochote, kama mna nia ya kumsaidia mpelekeni kwa watu wa maombi wa kweli wamtowe hayo majini kichwani, wanaojibu hizo hesabu si yeye ni hato madudu yaliyomkaa kichwani.

Huyo mkipeleka shule atakuwa ndio anaburuza mkia darasani, Wabongo wengi mna mihemko hamjatambea na hamjaona mengi.

Save hii post for future reference.
Duuuu
 
unaweza mpeleka la 4 kumbe anajua kujumlisha na kutoa halafu kusoma na kuandika hajui, happy ndo atakapoburuza mkia maisha yake yote ya shule[emoji3]
Huyo apelekwe kwa Mwamposa Bulldoza au mtu aliyepewa kipawa kama Bulldoza akaombewe wakamtowe hayo majini awe huru.

Ninaandika kitu ninachokijuwa na nina uhakika nacho wa asilimia 100 kwa 100.

Hayo ni majini hakuna kipaji hapo.
 
Wanaokomenti negative kuhusu huyu genius ni wale ambao wakipewa mtihani na dogo, anawabwaga mbali. Hahahahaha!!! Weeeiiivuuu kamwe haijawahi kumwacha mtu salama.

cc:
Mathematical
Mathematical Equation
mathematics
mathematique

KUJENI MMTETEE MWENZENU HUKU --- anashambuliwa mishale na vilaza wa ^Hesabati^
Kitu cha kufahamu ni kuwa, Mtu akielewa Hisabati, masomo mengine anafundishika kirahisi. Hesabu inatumia akili nyingi, wakati masomo mengine ni kukariri zaidi

Shule kama Marian kwenye interview feli masomo yote ukifaulu hesabu wanakuchukua wanajua unafundishika

Sasa hao wanaodhani kutojua kuandika ni tatizo, ni wale ambao sio tu hawajui hisabati, bali pia walikumbana na ugumu hata kwenye kuandika na kusoma

By the way, Dodo anaweza asiwe mzuri kwenye masomo mengine, lakini masomo yanayohusisha akili kubwa kama Physics, Chemestry, Na Hesabu yenyewe atakuwa anawapigia mabanda tu
 
Huyo apelekwe kwa Mwamposa Bulldoza au mtu aliyepewa kipawa kama Bulldoza akaombewe wakamtowe hayo majini awe huru.

Ninaandika kitu ninachokijuwa na nina uhakika nacho wa asilimia 100 kwa 100.

Hayo ni majini hakuna kipaji hapo.
heeee makubwa haya🙄
 
Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi.

Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa majaribio ili kumpeleka katika Shule na darasa analostahili.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmanuele Kalobelo amesema wamegundua ana kipaji hivyo watamfanyia majaribio.

Katika hatua nyingine Katibu Tawala ameelezea azma yao ya kuboresha mazingira ya Shule ya Msingi Nyigwa kwa kuijengea madarasa manne mbali na mawili ambayo yanamaliziwa na Mkurugenzi.

View attachment 1722586

Pia soma: Serikali yaagiza mtoto Charles Mathias arushwe darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada
kwa hiyo kujumlisha hivyo vihesabu ndio anakipaji? Mbona kuna watu kibao wanavipaji huyo amekua wa kwanza aise kweli hii nchi tunachekesha sanaaa
 
Back
Top Bottom