Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

Nifafanulieni basi wanampima nini? Uzito, urefu au? Huyo ni wa kupelekwa shule bora tu.
Ninaowateuwa Wameshindwa Kufikiria Nje Ya Box
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hata walipomuua Akwilina walikwenda kuweka bomba la maji nyumbani kwa wazazi wake
Mnaboresha madarasa kama zawadi kwakuwa amepatikana mtoto mwenye kipaji hapo? Shule zisizo na watoto wenye kipaji waendelee ku suffer
Je, mna mpango gani wa kuibua vipaji vingine zaidi ya hicho katika maeneo mengine?
 
unaweza mpeleka la 4 kumbe anajua kujumlisha na kutoa halafu kusoma na kuandika hajui, happy ndo atakapoburuza mkia maisha yake yote ya shule😀
Huyu mtoto siyo wa kuanza kumchanganya. Naona na wanasiasa wameshaingia na kusema sijui arushwe darasa. Kama wanataka kumsadia apelekwe shule hizi za International lakini asirirushwe darasa wala asipewe pressure yoyote bali asome kama watoto wengine. Kama ni kipaji kitaonekana tu. Kuna wengine wanaweza kuwa namna hii wakiwa wadogo lakini wakikuwa wanabadilika na kuwa na akili za kawaida.
 
ni kweli mkuu wasimvuruge mtoto.
 
Utashangaa anapelekwa ata la pili tu wakati bado dogo ni kichwa ata la nne asome 6 month apige la tano.🚶🚶
Yaani nimekumbuka maneno ya Mh Kishimba hadi machozi yamenilengalenga, haipo haja ya mtoto kusoma darasa moja mwaka mmoja, na hakuna utafiti wowote uliosema ili mtoto aelewe vizuri anapaswa kusoma darasa moja mwaka mzima, tutumie hii kama role model kwa kuangalia watoto wengine wanaostahili kuvushwa, binafsi nakumbuka nilivyokuwa darasa la tatu nilikuwa nafundisha hesabu darasa la tano na sita.

Ila tatizo la watoto wakiafrica akishajua ku ejaculate tu akili yote huyeyuka, msishangae form four akapiga zero
 
Eti akijua ku ejaculate ndo basi tena😆😆
 
Nilidhani sasa ni muda muafaka wa kujenga shule za kisasa za Vipaji Maalum Ili tuwe na Oxford na Harvard zetu hapa mjini Tanzania! Kumbe nasikia kuna mbunge mmoja kaahidi kumlipia ada huku mkuu wa kaya akijinadi Elimu ni Bureee!
 
Back
Top Bottom