Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

ni mwepesi sana yule samia, ni muoga....masikini anaogopwa sana na watawala..sijajua ni kwanini? ila magufuri pekee ndio alikuwa rafiki wa hili kundi kubwa
Tuna Rais asiye na ushawishi kwa wananchi wake.
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Hapna asifanyiwe ukatili huo wa kijinga
 
Umechanganya mambo mengi, hata yasiyohusiana, kiasi kwamba hujui unacholenga kukieleza kieleweke kwa anayekusoma.

Unadhani ukitumia maneno mengi kwenye andiko ndiyo utaonekana kuwa unajua kitu, kumbe hujui lolote.
Unapowaita wengine "wapumbavu" unasahau kuwa mpumbavu mkubwa ni wewe mwenyewe usiyeweza hata kujieleza ukaeleweka unalenga jambo gani.

Kama wewe unachojua kuhusu kujikomboa ni "kumwaga damu", pekee, nenda kamwage ya kwako usitafute za waTanzania kwa akili mbovu kama hii unayoionyesha hapa.

Sudan sasa hivi wanamwaga damu, nenda kajikomboe huko.
 
Namkubli San lisu mbowe embu ampishe apike kazi hyu mwamba
 
Ujumbe umeupata vyema, iliyobaki ni kuutumia kwa manufaa yako. Vinginevyo, utaendelea kuwa kiazi mbatata.
Hakuna ujumbe utaoweza kunipa we kilaza nikauchukua, soma vizuri uelewe nilichokiandika usiendeshwe na mihemko ya vyama vya kisiasa wakati mwingine tumia akili yako kuchakata mambo watu waoga dizaini yako ndiyo mnaturudisha nyuma kimaendeleo eti maridhiano ulishaambiwa wameridhiana Nini CCM inawageuza wapumbavu coz cccm ni Ile Ile nchi gani imefanya mageuzi Kwa hayo maridhiano, Kenya 2007 walinyooshana mtaani ndo ukaona baadhi ya mambo yakakaa sawa tulia. najua uzwazwa ukikutoka utanielewa!!!!
 
Bado unazongazonga hapa na nini, bado huelewi?
Unatumia mfano wa Kenya, na kwa kukosa akili kwako hutambui kwamba Kenya wamemwaga damu toka enzi za mau mau, na bado wanaendelea kumwaga damu; lakini kwa mpuuzi kama wewe hakuna unachojua!

Kwa mtu kama wewe usiye elewa chochote bali kukariri tu misemo, ni vigumu sana kuelezwa jambo na kulielewa.
Nadhani itanibidi nikuweke kwenye kapu la watu ninaowadharau sana hapa JF, pamoja na kwamba ndiyo kwanza nauona ujinga wako humu jukwaani.
 
Sasa mpumbavu kama wewe ukinidharau si itakuwa ni vyema ungekuwa una akili timamu angalau ningehuzunika we kunidharau narudia Tena unatakiwa kujitambua usiendeshwe na mihemko na kujiona unajua kumbe bogus!!!!
 
Sasa mpumbavu kama wewe ukinidharau si itakuwa ni vyema ungekuwa una akili timamu angalau ningehuzunika we kunidharau narudia Tena unatakiwa kujitambua usiendeshwe na mihemko na kujiona unajua kumbe bogus!!!!
Yote haya uliyoandika hapa ni kama unajitambua kuwa unazo sifa zote za mambo hayo. Naendelea kukudharau.
 
Yote haya uliyoandika hapa ni kama unajitambua kuwa unazo sifa zote za mambo hayo. Naendelea kukudharau.
Mi mwenyewe nimekudharau sanaaaa na huna Cha kunizidi kima we kama ni msomi basi usomi wako haujakusaidia chochote ulipoteza muda TU yaani we ni mpumbavu wa mwisho ukweli daima ni mchunguπŸ˜†πŸ˜†
 
Mi mwenyewe nimekudharau sanaaaa na huna Cha kunizidi kima we kama ni msomi basi usomi wako haujakusaidia chochote ulipoteza muda TU yaani we ni mpumbavu wa mwisho ukweli daima ni mchunguπŸ˜†πŸ˜†
EeenHeeee!
Dharau iko pale pale, tena zaidi na zaidi. Ona sasa unavyozidi kujichafua mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…