Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

Mbna uko speed hvyo mkuu embu tuliaa kaa chini tulia andika vzr

Huku atutafuti likes Wal ripota mzuri sas bas Kama unataka kuleta taarifa tuliaa kaa chini andika kwa ufasaa
Kuna shida akiwa speed ndugu. Vitu vingne ni vya kujiongeza sisi wenywew tarifa Kama HYo Huwa na updates so si vyema kumkosoa mtoa hoja, Kuna MTU akisikia HYo gar imepata ajar kwake inatosha coz yawezkana ana ndugu au rafiki.
 
Mbna uko speed hvyo mkuu embu tuliaa kaa chini tulia andika vzr

Huku atutafuti likes Wal ripota mzuri sas bas Kama unataka kuleta taarifa tuliaa kaa chini andika kwa ufasaa
unapopata breaking news inakusaidia hata kama wewe una ndugu anasafiri kujaribu kufuatilia sio lazima kila kitu akuletee yeye, je kama na yeye alikuwa kwenye basi anasafiri asimamishe basi ili akuletee habari kamili?

wengine inafikia hata kutaka picha alafu mkiwekewa picha mnaanza kulaumu picha zinatisha ondoa.
 
Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi.

Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya.

UPDATE:

Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya uchunguzi kufanyika.

View attachment 2155660View attachment 2155661
View attachment 2155662View attachment 2155663

IMG-20220318-WA0007.jpg
 
Muda huu redio one wametangaza ajari hiyo.. inasemekana watu 13 wamepoteza maisha papo hapo..marehemu wapumzike kwa amani..
 
Back
Top Bottom