Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
sangasanga ziko nyingi kwahiyo akisema sangasanga mzumbe inakuwa rahisi kujulikana ni wapiHapo ni Sangasanga sio Mzumbe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sangasanga ziko nyingi kwahiyo akisema sangasanga mzumbe inakuwa rahisi kujulikana ni wapiHapo ni Sangasanga sio Mzumbe.
Ipo.We need a dislike [emoji107] button
Acha usukuma gang mkuu, hii ni habari ya msiba, jaribu kujiheshimu basiHivi mbona ajali zimeanza kufululiza Tena,
Mbna uko speed hvyo mkuu embu tuliaa kaa chini tulia andika vzr
Huku atutafuti likes Wal ripota mzuri sas bas Kama unataka kuleta taarifa tuliaa kaa chini andika kwa ufasaa
... Two weeks ago nilikatiza Dom to Iringa through Mtera; dah ile huwezi kuita barabara kwa hakika! Kule kote kona za Nyang'oro ni majanga matupu!Hadi tutakapoamua kuukubali ukweli!!
Chanzo kukubwa cha ajali za Tanzania ni ubovu wa miundombinu na si mwendokasi kama tunavyoaminishwa na mamlaka za juu.
Head on collisions hata tupunguze speed limit iwe 40km/h bado kuna sehemu korofi zitasumbua
Hata haliajaanza kutumika rasmi tayri limepata ajali cjui bima Huwa inahusika. R.IP wote#BreakingNews: Watu 13 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ahmeed baada ya kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa likisafirishwa kwenda nje ya nchi lenye namba za IT 2816 katika eneo la Melela Kibaoni Barabara kuu ya Morogoro-Iringa. https://t.co/C9FDTmowku
Mkuu umenena ukweli hapa,speed sio tatizo, tatizo letu barabara zetu ni mbovu mno,hii T1 imeoza, hii njia imejengwa Nyerere (rip)era muda wake umekwisha na tunahitaji T1 mpya itakayoendana na mabadiliko ya vyombo vinavyotumia barabara hii,always watanzania tunakimbilia short cut na rip zetu, accidents its someone's fault sio kazi ya Mungu na hapa tanroards ndio wahusika wakuu, ondoa regional manager wa morogoro na songwe.Hadi tutakapoamua kuukubali ukweli!!
Chanzo kukubwa cha ajali za Tanzania ni ubovu wa miundombinu na si mwendokasi kama tunavyoaminishwa na mamlaka za juu.
Head on collisions hata tupunguze speed limit iwe 40km/h bado kuna sehemu korofi zitasumbua
Bado vyovyote vile human error ni kubwa kuliko.. barabaran Kuna defense driving haiwezkan mkalaumu miondombinu jaman.. watu wanajua sehem fulan ni korofi lakn hwajal kuhusu speed Wala nini?? Utashi Wetu ni muhimu sana kwwnye kuchukua hatua stabil kuliko kulaumu miondombinuMkuu umenena ukweli hapa,speed sio tatizo, tatizo letu barabara zetu ni mbovu mno,hii T1 imeoza, hii njia imejengwa Nyerere (rip)era muda wake umekwisha na tunahitaji T1 mpya itakayoendana na mabadiliko ya vyombo vinavyotumia barabara hii,always watanzania tunakimbilia short cut na rip zetu, accidents its someone's fault sio kazi ya Mungu na hapa tanroards ndio wahusika wakuu, ondoa regional manager wa morogoro na songwe.
Dereva wa Lori ndio chanzo kumbe.Ajali mbaya sana, eti dereva wa lori alihama ku overtake bodaboda..........hawa madereva wanyoa viduku ni shida, anataka kuendesha lori kama gari ndogo ya kutembelea, unaendesha lori una overtake bila kuwa na uhakika na gari zinazokuja kutokea mbele.
Kwa ajali kama hii mara nyingi dereva wa gari inayoenda kumgonga mwenzake anaruka mapema sababu anakuwa anajua